Fomula ya kukokotoa asilimia 23 ya kima cha mshahara ipo hivi:
Kima Cha chini Cha mshahara Tanzania ni 300000/=
23/100x300,000=69,000/=
Hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69,000=12,420/=
Sasa 69,000-12,420=56,580/=
Hivyo basi nyongeza ya mashahara ni 56,580/= kwa...
Habari ya wakati huu mdau wa JF??
*Sasa namiliki nyumba ya kisasa ndogo iliyonigharimu muda mrefu sana kufikia hatua hii ilipo na nimehamia nimeacha kuumia kila mara kwa kulipa kodi ktk nyumba ya kupanga, bado tu tiles kwa baadhi ya shm, finishing ya rangi nmeshaskim tayari, na aluminium...
Hbr wadau wa JF?
Boss wangu amekuwa na kawaida ya kuziblock barua za wafanyakazi zisiendelee na mzunguko kuwafikia wakubwa zake kwa sbb zake binafsi ambazo anazijua yeye!
Nimeandika barua yangu iende kwa mkurugenzi wa kanda yangu ila barua yangu haijapitishwa na kila nikimwendea boss huyo...
Baada ya kukosoa kosoa nimekuja na DESIGN hii sijui mnaionaje, kama iko poa nipe Yes niendelee na ujenzi na kama haiko sawa nipe NO, na plz uState nibadilishe wapi!!
Nawasilisha!
Hizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka!
Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako!
Foor Plan yake ni hii hapa chini:
Habari zenu wadau wa JF?
Je, ninaweza kutumia nusu ya boriti ya 2x2 (kuikata katikati kwa urefu nakuwa 1x2) kwa ajili ya blandering? Au inaweza kuleta shida in-terms of strength ya kushikilia gypsum board?
Msaada tafadhali!
Nina boma la nyumba ya ukubwa 64m², nmetumia tofali 1850 za block:
Ina +Master bedroom (12x12)ft
+Single room 1 (10x10)ft
+Dining (10x12)ft
+ Sebule (19x12)ft
+Public toilet 1 (4x6)ft
Naomba kujuzwa ni bati ngapi zinaweza kutosha na mbao za kupaulia ngapi? NATAKA NIEZEKE KISASA!
Nawasilisha!!
Mashine ni ANCEL X6/X7___ sina experience kubwa na Diagnosis ila nimenunua mashine hii ili kuwa nafanya kazi zinazojitokeza. Kuna baadhi ya vitu sijawahi kufanya kama hiyo injector registration
Naomba MSAADA: Baada ya kubadilisha injector nozzle zote engine imekosa nguvu, na bado check engine lamp HAIWAKI__
Nikitumia mashine ya Diagnosis (ANCEL) fault code P1922(switch on engine off) na P0089 (switch on engine on) zinatokea, nikiClear na kuscan tena inarudi P1922.
TATIZO: $jui namna...
Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya.
Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25!
Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)?
Nawasilisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.