MSAADA: Sheria inasemaje "Boss akikataa kuipitisha barua yako ili iendelee na mzunguko kuwafikia wahusika wenye majibu?"

resonanceiduufu

Senior Member
Jul 29, 2016
112
62
Hbr wadau wa JF?

Boss wangu amekuwa na kawaida ya kuziblock barua za wafanyakazi zisiendelee na mzunguko kuwafikia wakubwa zake kwa sbb zake binafsi ambazo anazijua yeye!

Nimeandika barua yangu iende kwa mkurugenzi wa kanda yangu ila barua yangu haijapitishwa na kila nikimwendea boss huyo anatoa majibu kwamba siwezi fanikiwa suala langu! Hivyo anagoma kabisa kukoment chochote ili iende kwa mtwandikiwa barua (mkurugenzi)

Naombeni msaada wa kisheria kuhusu suala hili, maana nimesubiri sana barua yangu ipitishwe ili iende kutolewa majibu lakini barua inablokiwa isiende mbele na huyu boss!

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom