Recent content by researcher12

  1. researcher12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna vitu wanawamke mnafanya ila wanaume hawavipendi(mnajisumbua bure)

    Lingine, Mimi mwanamke aliyejichubua apite mbali
  2. researcher12

    JamiiForums Tanzania Video: Musiba adai Membe na Kikwete ni ndugu wa damu

    Mmoja kati ya watu nisiowaamini ni huyu
  3. researcher12

    JamiiForums Tanzania Kutoka mbugani: Sifa kuu za wanyama aina ya Chui na sifa zao binafsi

    Shukran kwa elimu adhimu
  4. researcher12

    JamiiForums Tanzania Bei ya Bajaj mpya.

    Mim pia nauza ofisi yangu iko Bahiroad, ila being ya RE mpya ni 7.2 milion inakuja na jina la mteja
  5. researcher12

    JamiiForums Tanzania Siasa na Dini: Mitume na Manabii mbona suala la kuombea mvua mmemwachia Mufti peke yake?

    Kwani wewe ulivyokuwa unawategemea wazaz wako kila kitu walikuwa wanakupa ? au vingine mpaka uwaombe ?
  6. researcher12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa akamatwa kwa kufanya ngono na kichaa

    Kuna mdada hapa alileta mada yake anamtamani kichaa wa kiume, au umesahau ?
  7. researcher12

    JamiiForums Tanzania Kelvin Twissa anaweza kuvaa viatu vya Ruge

    Succession plan ni kitu kigumu sana hasa katika biashara za partnership, Kwa Mtazamo wangu Seba Maganga anaweza kufanya kitu CMG
  8. researcher12

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufunga tena duka langu moja la simu za Jumla Kariakoo

    Wachangiaji wengi hawafahamu yanayotukumba wafanyabiashara, sasa Tz biashara ni ngumu sana, wateja hakuna, kodi za manispaa na rungu la Tra
  9. researcher12

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha washusha kipigo cha Nguvu kwa Mfanyabiashara wa duka

    Kwa polis wote na wafanyakaz wa serikali miungu watu tukutane fainali uraian mkistaafu
  10. researcher12

    JamiiForums Tanzania RC Ruvuma: Waokota makopo kupewa vitambulisho

    Kodi inakusanywa kwa mbinu zote, huku maisha yakizid kuwa magumu, 2025 tutatoboa kwel ?
  11. researcher12

    JamiiForums Tanzania Somaliland: Baadhi ya viongozi wa Kiislam wakataa Waumini wao kuadhimisha siku ya Wapendanao kwa kuwa Valentines alikuwa Mkristo

    In haramu kwa muislamu wa nchi yoyote kusherehekea Siku ya wapendanao, katika uislamu kuna sikukuu mbili tu IDD ya kula na IDD ya kuchinja. Uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya mwanaadam, Haifai kwa muislamu kusherekea kitu cha kuzuliwa, kwan uislamu wenyewe umekamilika
  12. researcher12

    JamiiForums Tanzania Je Bashe ni chamdeko CCM?

    Sura sio roho
  13. researcher12

    JamiiForums Tanzania Je Bashe ni chamdeko CCM?

    Unaweza kumjua MTU ana roho mbaya kwa kumuangalia usoni ?
  14. researcher12

    JamiiForums Tanzania Je Bashe ni chamdeko CCM?

    Kumbe Zitto ni msomali !
  15. researcher12

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

    Hijabu ni moja ya utaratibu wa waislamu tuachwe tutekeleze mfumo wetu wa maisha. uchafu, mimba na vinginevyo ni hulka na tabia za mwanafunzi.
Back
Top Bottom