Video: Musiba adai Membe na Kikwete ni ndugu wa damu

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Yalishawahi kusemwa haya lakini gwiji la upelelezi barani Afrika bwana Musiba limedai ya kwamba hawa jamaa ni mtu na kaka yake
Ikumbukwe kwamba gwiji hili linalojua kila kitu na lenye majibu ya kila kitu lilipiwa MAHARI na Rais kikwete wakati likimuoa mke wake aliyenaye sasa
Gwiji hili liliwahi kutuambia kwamba Lissu hakupigwa risasi bali zilikuwa ni blanks au blanko kama yeye anavyoziita
 
Huyu mtu ni mwendawazimu kama huyo anayemdhamini mwendawazimu wa Ikulu. Kwa Serikali inayojitambua na inayofuata utawala wa sheria huyu kichaa angekuwa ananyea debe segerea.

Yalishawahi kusemwa haya lakini gwiji la upelelezi barani Afrika bwana Musiba limedai ya kwamba hawa jamaa ni mtu na kaka yake
Ikumbukwe kwamba gwiji hili linalojua kila kitu na lenye majibu ya kila kitu lilipiwa MAHARI na Rais kikwete wakati likimuoa mke wake aliyenaye sasa
Gwiji hili liliwahi kutuambia kwamba Lissu hakupigwa risasi bali zilikuwa ni blanks au blanko kama yeye anavyoziita
 
Kitwanga asinge recommend ajira ya kwanza ya huyu Kijana pale Channel ten haya yote yasingetokea

Ridhwaan Kikwete asingemuunganisha huyu kijana na Vijana wa Mfumo kipindi kile Ridh akiwa Ridh kweli akiwa Mwenyekti wa Harusi ya huyu Kijana yote haya yasingetokea

Jk na Mama Salma wasinge fadhili maisha ya huyu Kijana for 10 years pengine angekuwa kisharudi kwao Ukerewe kuendelea na shughulu yake Kongwe ( sio Uvuvi)

Kunguru hafugiki
 
Huyu mtu siyo mwendawazimu kama mnavyomuita bali yupo kazini kama wewe unavyokuwa kazini.Kumbuka kwa awamu hii yeyote anayeangalia tu hicho kiti cha mkuu jiwe hata awe mbali lazima ashambuliwe kwa nguvu zote.Ukitaka kuthibitisha wewe jaribu kutangaza kuwa unataka kuwania kiti cha kuwa mkuu wa pale nyumba nyeupe,(utarudi hapa kuomba msamaha:mwuulize Lowasa)
 
Kitwanga asinge recommend ajira ya kwanza ya huyu Kijana pale Channel ten haya yote yasingetokea
Ridhwaan Kikwete asingemuunganisha huyu kijana na Vijana wa Mfumo kipindi kile Ridh akiwa Ridh kweli akiwa Mwenyekti wa Harusi ya Musiba yote haya yasingetokea
Jk na Mama Salma wasinge fadhili maisha ya huyu Kijana for 10 years pengine angekuwa kisharudi kwao Ukerewe kuendelea na shughulu yake Kongwe ( sio Uvuvi)
Kunguru hafugiki

Braza kweli nimeamini maisha yanabadilika sana,Musiba role modo wa vijana wa utangazaji leo amekua King of kificho, kweli naamini amepata
 
Kutoka kuishi uswekeni hadi ku share fence na Embassy ya Emirate jambo dogo hilo?, kibongo bongo kaukata but life hilo lina deadline

Nan alitegemea Ridh 1 tutoke nae makaburi ya Kisutu kila mtu na time yake hana hata wa kumsindikiza huku kasogeza sikio karibu na mdomo wa Ridh ili aambiwe lolote na Prince

Bata na nguvu ya Huyu mtoto kwny Utawala wa Baba yake ilikuwa kubwa kuliko ya Governor wa Awamu ya tano

Enzi hizo hata kamba za Viatu zikilegea hata mwenyewe hajajua basi mtu mzima unapiga goti then unamuomba samahan kwa Kamba zake mwenyewe kufunguka huku unazifunga
 
Kila jambo na wakati wake.
Changamoto ya brainwashing propaganda haijalishi ni wapi,nani,yupi,kwanini na ili iweje limekuwa ni tatizo kubwa katika siasa za Dunia.
Brain people discuss issues not people.
Pengine labda huwa tunakosea katika presentation zetu,lakini isiwe sababu ya kufanya direct attack personal.
Na kama mzizi wa habari ni watu tujiepushe katika kuchonganisha watu pasipo kuwashirikisha.
Wastaafu ni watu muhimu sana katika kujifunza,kupata ushauri na kudumisha mshikamano wa kitaifa,hivyo kuwajumuisha katika sindiketi hata kama ni kwa mfano si sawa.
 
Hahahah. .maisha bila Unafiki haya endi ''

Huwa tunamsifia mzee wa msoga kwamba Alikuwa ni raisi bora 'wakati wake ulikuwa na nafuu ya uchumi na blah blah blaaaa kibao

Lakini ni ukweli ulio Uchi kwamba ' Hii hali mbaya iliyopo sasa nchini pia na yeye amechangia kwa kiasi kikubwa kutufikisha hapa tulipo ' ...Yeye ni 1 kati ya viongozi wa juu walio muweka Jiwe madarakani. Yeye ndiye aliye msogeza makonda kwenye system ya serikalini na mengine ndio kama hayo ya msiba sijui musiba. .....

So waweza kuona jinsi maamuzi yake yalivyo changia kuliachia taifa watu waajabu sana - ' Wakati watu Wana kaa na kumsifia (mzee wa msoga) naomba pia wasiwe wana ya sahau na haya niliyo yaongea
Alilipiwa mahari na kikwete.Kumbe na kikwete alikuwa analikubali.

Siasa hii duh!
 
Nishachoka na huyu musiba

Kila siku yeye

Mara leo huyu kafanya hili, mara anataka kuuliwa mara yule kafanya hili yaaan fuju mtindo mmoja.

Alafu anachosemaga hakina maana
 
Mama wa wajinga ni yule anayemwamini asiye na akili.
Yalishawahi kusemwa haya lakini gwiji la upelelezi barani Afrika bwana Musiba limedai ya kwamba hawa jamaa ni mtu na kaka yake
Ikumbukwe kwamba gwiji hili linalojua kila kitu na lenye majibu ya kila kitu lilipiwa MAHARI na Rais kikwete wakati likimuoa mke wake aliyenaye sasa
Gwiji hili liliwahi kutuambia kwamba Lissu hakupigwa risasi bali zilikuwa ni blanks au blanko kama yeye anavyoziita
 
Kila jambo na wakati wake.
Changamoto ya brainwashing propaganda haijalishi ni wapi,nani,yupi,kwanini na ili iweje limekuwa ni tatizo kubwa katika siasa za Dunia.
Brain people discuss issues not people.
Pengine labda huwa tunakosea katika presentation zetu,lakini isiwe sababu ya kufanya direct attack personal.
Na kama mzizi wa habari ni watu tujiepushe katika kuchonganisha watu pasipo kuwashirikisha.
Wastaafu ni watu muhimu sana katika kujifunza,kupata ushauri na kudumisha mshikamano wa kitaifa,hivyo kuwajumuisha katika sindiketi hata kama ni kwa mfano si sawa.
The great minds of people .....concetrated on enemity ....not in wise kind ..

Africans will.discuss an personality of human but development of human
 
Kitwanga asinge recommend ajira ya kwanza ya huyu Kijana pale Channel ten haya yote yasingetokea

Ridhwaan Kikwete asingemuunganisha huyu kijana na Vijana wa Mfumo kipindi kile Ridh akiwa Ridh kweli akiwa Mwenyekti wa Harusi ya huyu Kijana yote haya yasingetokea

Jk na Mama Salma wasinge fadhili maisha ya huyu Kijana for 10 years pengine angekuwa kisharudi kwao Ukerewe kuendelea na shughulu yake Kongwe ( sio Uvuvi)

Kunguru hafugiki
Ridhiwan ndio huubganisha watu? Mbona mnatubagua? Kwani Ccm ni ya familia?
 
Back
Top Bottom