Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

Status
Not open for further replies.
Suala la hijabu kuvaliwa shuleni sisi wanaoona mbali tulishajua litaleta matatizo,

Hasa kwa wanafunzi wanaokua tena ni wakike, madhara yake wameshaanza kuzificha mimba, Nywele chafu, na wengine wamesuka, inaondoa Uniformity of students,
Alafu pia nasikia maeneo mengine hata wakatoliki wameanza kudai nao kuvaa baadhi ya ishara za kikatolik shuleni, vipi kila dini hata hasiyekuwa na dini akisema aende na Tunguli zake?

Tutafakari upya juu ya hijabu kuvaliwa shuleni kwa shule za serikali,

Britanicca
kwani zina madhara ya kiafya kwa mvaaji na wanaomzunguka hapo shuleni?
 
Swala la hijabu waacheni wavae mbona wanapendeza tena sana kuliko wasiovaaa?
NB:Mbona picha zote za Bikira Maria amevaa hivo?

Mahakama za/ya Kadhi ni kwa ajili ya WAISLAMU serikali haihusiki kwa lolote coz waislamu ndo wanajenga na ndo wanazihudumia na wanaamua kesi zinazohusu dini yao na si vinginevyo.
So hupaswi kuwaingilia kwenye hilo kwa namna yoyote hile coz ni mambo ambayo hayakuhusu.

MWISHO:Baba yetu uliye Mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike/uje utakalo lifanyike Duniani kama Mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu kama sisi tunavyowasamehe waliotukosea.
Usitutie katika vishawishi, lakinini utuokoe katika maovu. AEMEN.
 
Waislamu bwana,Sasa kila mtu akitaka alete mafundisho yake ya kidini,si itakuwa vurugu,Kama mnataka hijabu anzisheni shule zenu za kiislamu muwe mnavaa hijabu asubuhi,mchana,jioni ikibidi muwe mnalala nazo kabisa...,Jengeni shule zenu za kiislamu,nyie vipi nyie,

Noma
 
Suala la hijabu kuvaliwa shuleni sisi wanaoona mbali tulishajua litaleta matatizo,

Hasa kwa wanafunzi wanaokua tena ni wakike, madhara yake wameshaanza kuzificha mimba, Nywele chafu, na wengine wamesuka, inaondoa Uniformity of students,
Alafu pia nasikia maeneo mengine hata wakatoliki wameanza kudai nao kuvaa baadhi ya ishara za kikatolik shuleni, vipi kila dini hata hasiyekuwa na dini akisema aende na Tunguli zake?

Tutafakari upya juu ya hijabu kuvaliwa shuleni kwa shule za serikali,

Britanicca
Hijabu ni moja ya utaratibu wa waislamu tuachwe tutekeleze mfumo wetu wa maisha. uchafu, mimba na vinginevyo ni hulka na tabia za mwanafunzi.
 
Mada murua.
Vazi hili lisivaliwe shuleni na hata ofisini, hasa ofisi za Serikali na mashirika ya Umma.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili iweje ...hii nchi kila mtu ana Uhuru wa kuabudu anachokiamini sasa sisi imani yetu inatufundisha wanawake kufunika miili yetu hayo unayoyataka unataka ili kitokee nini tukiacha kuvaa hijab!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom