Somaliland: Baadhi ya viongozi wa Kiislam wakataa Waumini wao kuadhimisha siku ya Wapendanao kwa kuwa Valentines alikuwa Mkristo

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,919
2,000
Some leading Muslim clerics in the self-declared republic of Somaliland have urged their followers not to celebrate Valentine's Day, saying it is contrary to the teachings of Islam.

The clerics made similar appeals in previous years, but have been more vocal in their opposition this year.

Some people disagree with them, arguing that celebrating love has always been part of the culture of Somalis - and one of their most celebrated poets, Elmi Bodheri, is said to have died of love.

But the Muslim clerics still object because the day gets its name from St Valentine, a Christian priest from Rome in the third century AD.
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,217
2,000
kwa hiyo wewe ulio sherekea Jana umefaidika vipi au waislam ambao hawajasherekea wamepungukiwa nini?yaani nishindwe kufanya kazi zangu kwa ajili ya upuuzi.kwa haya uliyo andika inaonesha kichwa chako kimejaa makamasi badara ya ubogo.
 
master of cities

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
257
225
Waislamu wako sawa....valentinre day ni ibada ya kishetani nyuma ya pazia....miungu ya kirumi jina kapuni ilisadikika kuwa yenye uwezo wa kutungisha mimba endapo watu wangefanya ngono siku ya february 14 Huku wakiiabudu na kutoa sadaka ikiwamo na makafara....Tatizo watu uwezo wa kufikri na kuchanganua mambo ni bashite....wakristo wengi ni majina tu mana hata katiba yao biblia wanachengana nayo....kazi kuruka ruka na kukenua kwenye sherehe ambazo hata biblia haizitambui na ni ibada za umizimu kiufupi wakristo type ya akina gwajima wamekaa kilofa sana...wakristo wakifata biblia kwa usahihi tkfauti yao na waislamu ni ndogo sana....kwanza hzo dini zote zimetokea masharki ya kati..eneo moja na utamaduni mmoja
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,552
2,000
Mambo mengine ni kucomplicate tu maisha.Hizo siku ni maadhimisho tu ambayo kuwepo kwake hayapunguzi wala kuongeza chochote sasa inastaajabisha watu wanavyocomplicate.Au kama wanaona tatizo ilianzishwa na mkristo kukataza wengine wasiadhimishe bado nikutengeneza utengano ambao hauna mantiki.
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,552
2,000
Acha uongo.Aliyekwambia hiyo ni sherehe,na ni sherehe ya dini ni nani.Aya mambo yakuu ga unga muwe mnaacha.Hata hivyo hizo zinazoitwa sherehe ziwe za kidini au zakidunia ni mawazo ya watu yakufikirika tu kama zilivyo siku kwaiyo ni ajabu sana mtu mwenye akili timamu kuumizwa na kitu chakuadhimisha kwakufikirika.
Waislamu wako sawa....valentinre day ni ibada ya kishetani nyuma ya pazia....miungu ya kirumi jina kapuni ilisadikika kuwa yenye uwezo wa kutungisha mimba endapo watu wangefanya ngono siku ya february 14 Huku wakiiabudu na kutoa sadaka ikiwamo na makafara....Tatizo watu uwezo wa kufikri na kuchanganua mambo ni bashite....wakristo wengi ni majina tu mana hata katiba yao biblia wanachengana nayo....kazi kuruka ruka na kukenua kwenye sherehe ambazo hata biblia haizitambui na ni ibada za umizimu kiufupi wakristo type ya akina gwajima wamekaa kilofa sana...wakristo wakifata biblia kwa usahihi tkfauti yao na waislamu ni ndogo sana....kwanza hzo dini zote zimetokea masharki ya kati..eneo moja na utamaduni mmoja
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
4,690

Unaona jinsi dini ilivyokufanya kuwa mjinga, unaelewa ukweli wa Valentines day? Usipende kuchangia hoja kama hujuwi ukweli wake. Hapa ulichoandika ni ujinga na uwongo mtupu, una undugu na dada yako mwanaharakati Mrs. Lissu a.k.a. FaizaFoxy?
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,529
2,000
Some leading Muslim clerics in the self-declared republic of Somaliland have urged their followers not to celebrate Valentine's Day, saying it is contrary to the teachings of Islam.
The clerics made similar appeals in previous years, but have been more vocal in their opposition this year.
Some people disagree with them, arguing that celebrating love has always been part of the culture of Somalis - and one of their most celebrated poets, Elmi Bodheri, is said to have died of love.
But the Muslim clerics still object because the day gets its name from St Valentine, a Christian priest from Rome in the third century AD.
Uislam hauna sikukuu hiyo
 
kakamkubwa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
1,188
2,000
UISLAMU WENYEWE NI MFUMO AMBAO WATU WANATAKIWA KUISHI KUENDANA NA MFUMO. SASA HIYO VALENTINE'S DAY HAIPO KWENYE DINI YETU TUNAANZAJE KUUFUATA MFUMO NJE YA DINI YETU? MUACHE MIHEMKO NA KUWASHWA.
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,115
2,000
Some leading Muslim clerics in the self-declared republic of Somaliland have urged their followers not to celebrate Valentine's Day, saying it is contrary to the teachings of Islam.
The clerics made similar appeals in previous years, but have been more vocal in their opposition this year.
Some people disagree with them, arguing that celebrating love has always been part of the culture of Somalis - and one of their most celebrated poets, Elmi Bodheri, is said to have died of love.
But the Muslim clerics still object because the day gets its name from St Valentine, a Christian priest from Rome in the third century AD.

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu akawasikiliza wasomali kweli?
 
researcher12

Senior Member
Aug 30, 2015
162
250
In haramu kwa muislamu wa nchi yoyote kusherehekea Siku ya wapendanao, katika uislamu kuna sikukuu mbili tu IDD ya kula na IDD ya kuchinja. Uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya mwanaadam, Haifai kwa muislamu kusherekea kitu cha kuzuliwa, kwan uislamu wenyewe umekamilika
 
BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,849
2,000
Waislamu wako sawa....valentinre day ni ibada ya kishetani nyuma ya pazia....miungu ya kirumi jina kapuni ilisadikika kuwa yenye uwezo wa kutungisha mimba endapo watu wangefanya ngono siku ya february 14 Huku wakiiabudu na kutoa sadaka ikiwamo na makafara....Tatizo watu uwezo wa kufikri na kuchanganua mambo ni bashite....wakristo wengi ni majina tu mana hata katiba yao biblia wanachengana nayo....kazi kuruka ruka na kukenua kwenye sherehe ambazo hata biblia haizitambui na ni ibada za umizimu kiufupi wakristo type ya akina gwajima wamekaa kilofa sana...wakristo wakifata biblia kwa usahihi tkfauti yao na waislamu ni ndogo sana....kwanza hzo dini zote zimetokea masharki ya kati..eneo moja na utamaduni mmoja
Exactly.
Kaa sehemu agiza chochote nakuja kulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,676
2,000
Some leading Muslim clerics in the self-declared republic of Somaliland have urged their followers not to celebrate Valentine's Day, saying it is contrary to the teachings of Islam.
The clerics made similar appeals in previous years, but have been more vocal in their opposition this year.
Some people disagree with them, arguing that celebrating love has always been part of the culture of Somalis - and one of their most celebrated poets, Elmi Bodheri, is said to have died of love.
But the Muslim clerics still object because the day gets its name from St Valentine, a Christian priest from Rome in the third century AD.
Sasa mi nawashangaa nyie mnao tukana humu jf.

Mambo mengi ambayo yanafanyika Siku ya Valentine hayaendani na maamrisho ya Allah.

Pia katika uislamu zipo sikukuu zake ambazo zipo kila mwaka kwa mujibu wa miongozo ya Quran na sunnah za Mtume Mohammed SW.

Sasa husilazimishe kila siku ambayo kwako we ni muhimu unataka na ummat Mohammed SW wafuate.

Sasa nakuelimisha waislamu hawaadhimishi valentine day si kwa sababu valentine ni mkristo hapana.
Sasabu kubwa ni siku ambayo inaenda kinyume na maarisho ya Allah.

Wakristo wanaanda tafrija ngapi waislamu wanasapoti Hau ilo ulioni ?
Acha kusambaza chuki mkuu.
Pia uongozi jf kwann mnaruhusu uislamu unatukanwa humu? Haki haitendeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom