Recent content by Requal

  1. Requal

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Uzembe na Mazingira ya Rushwa Hospitali ya Muhimbili, Upanga

    Kaka nchi za Africa unatakiwa ujiongeze bila hivo mgonjwa wako anaweza kufa na hakuna msaada wowote utakaopata
  2. Requal

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

    Haya yote ni maneno ya waliyoshindwa. Haya Kaa hapo usubiri mapaka serikali itakapokurekebishia
  3. Requal

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

    Watanzania wanaopenda umbea. Leo waambie Samia ndiye mmiliki wa DP world wote wataunga mkono. Mtakufa maskini Wapumbavu nyie. Na umasikini hauishi kwa kumchukia tajiri, tafuteni pesa wekeni kwenye familia zenu. Acheni majungu na Umbeya, Qmamake
  4. Requal

    JamiiForums Tanzania Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

    Unajua tatizo letu ni wivu kaka, Mimi sioni tatizo la jamaa ilimradi hamdhuru mtu. Acha Aishi maisha yake
  5. Requal

    JamiiForums Tanzania Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

    Kila mtu ana style yake ya maisha. Hata Elon Musk Kuna mda anajitoa ufahamu
  6. Requal

    JamiiForums Tanzania Anakutafuta wakati wa shida, muweke pembeni

    Hahaha
  7. Requal

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mzee Kingunge

    Aisee
Back
Top Bottom