Tetesi za kifo cha Prigozhin na usemi wa hakuna marehemu mbaya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Kabla sijaendelea kuna haya maswali

Je, ni kweli Prigozhin kafa?
Je, ni kweli Prigozhin alikuwa kwenye ndege iliyopata ajali?
Je, ni nani kamuua/alitaka kumuua Prigozhin?

Mpaka sasa shutuma zote juu ya kifo cha huyu mbabe wa vita anatupiwa boss wake wa zamani na mshirika wake wa karibu Vladimir Putin rais wa Urusi

Prigozhin kabla ya kuanzisha kampuni kubwa ya ulinzi Wagner group (kwa msaada wa Putin) alikuwa mpishi wake Ikulu ya Klemlin na mtu wake wa karibu sana.

Kampuni ya Wagner group chini ya prigozhin ni kampuni tishio ya ulinzi kwenye ulingo wa vita.. Ubabe ukatili na ushetani wake mkubwa umeipa umaarufu mkubwa wa kuogopewa duniani kote. Kuna tofauti ndogo sana kati ya Wagner group na Magenge ya madawa ya kulevya kama Mundanarco cartel.

Kwahiyo kama ni damu za watu zilizomwagika kupitia kwenye mkono wa bwana Prigozhin si haba ni kwa maelfu kama si malaki
Hapo hatujahesabu walemavu kupitia uovu na ukatili wa Wagner group
Kuna wajane na wagane
Kuna maelfu ya yatima
Kuna uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu
Kuna wakimbizi
Kuna waliofilisika na kufilisiwa
Kuna waliobakwa na kufanyiwa matendo machafu kabisa kupitia ama mikono ya prigozhin ama kwa amri na maelekezo yake..
Hivyo huyu bwana ni katili ni dhalimu aliyejawa na ushetani wa kila namna..

Amekuwa msaada mkubwa kwa Putin kwa mambo mengi ya kivita lakini kubwa likiwa ni hili la vita na Ukrain. Ni kwenye vita hii ndio pengine alijiona mkubwa kuliko boss wake na kwa mazingira yasiyofahamika vema akajaribu kufanya mapinduzi mwezi uliopita.. Jaribio hilo nalo katika hali ya kushangaza likiwa linaelekea kufanikiwa likasitishwa kwa kile kilichosemwa na Prigozhin kuepuka kumwaga damu za Warusi wasio na hatia

Yaliyotokea ni mengi tangu hapo mpaka bwana Prigozhin alipoibukia Afrika Magharibi na kuahidi kuifanya Urusi yenye nguvu na imara zaidi.

Hii sentence ilibeba tafsiri kubwa na pana sana! Kwa maadui na hata marafiki zake lakini kubwa kuliko yote kwa boss na mtu wake wa karibu bwana Putin.

Sasa inasemekana Prigozhin amekufa kwenye ajali ya ndege iliyodunguliwa mjini Moscow.. Pamoja na yeye alikuwepo msaidizi wake na watu wengine nane.

Sijasikitisha na kifo chake.. Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga! Niambie ni muuza nyama yupi alikufa kifo cha salama! Kumuonea hurum Prigozhin ni unafiki wa hali ya juu.. Kaua wengi na katajirika kwa kuangamiza roho zisizo na hatia.

Kama ni kweli kafa kafa kifo cha kitakatifu mno! Alipaswa kufa kifo cha mateso na ukatili mkubwa.

Mkuu mzee wangu alikuwa na mabucha ya nyama na yeye alitufundisha/amenifundisha Mie kuchinja nk lakini amekufa kifo cha amani akiwa na miaka 80 na siku kadhaa.
Kuhusu Prigozhin kwa kweli amepata alichostaili! Hasa nikikumbuka ile video ya jamaa anapigwa na Nyundo kichwani mpaka kufa na yeye akibariki jambo hilo basi naona Hata hichi kifo chake Mbona ni cha anasa sana…. The dude alistahili kufa kwa tabu nyingi sana and not that way!
 
Pole na hongera kwa kifo chema cha mzee wako ana bahati kubwa lakini muwe makini karma ya damu inaweza kuwageukia.. Jitahidini muwe watu wa ibada sana
 
Na ndiye alikuwa miongoni mwa makuhani wa nchi za Africa.
Prigo alikuwa ni Arun na Putin ni Mussa, hawa ndiyo wanaimbwa na waafrika kuwa wamekuja kuwatoa utumwani.
Waafrica wanaamini wakishirikiana Wagner na Putin Africa itafika kiwango cha Korea Kusini within a year.
GOD HAVE MERCY ON BLACK PEOPLE.
 
Mkuu mzee wangu alikuwa na mabucha ya nyama na yeye alitufundisha/amenifundisha Mie kuchinja nk lakini amekufa kifo cha amani akiwa na miaka 80 na siku kadhaa.
Kuhusu Prigozhin kwa kweli amepata alichostaili! Hasa nikikumbuka ile video ya jamaa anapigwa na Nyundo kichwani mpaka kufa na yeye akibariki jambo hilo basi naona Hata hichi kifo chake Mbona ni cha anasa sana…. The dude alistahili kufa kwa tabu nyingi sana and not that way!
Ebu iweke hiyo video mkuu tuione ......hafu hiu dunia kuna muda ili wengine wapone na wawe salama lazima ukatili uwepo.
 
Na ndiye alikuwa miongoni mwa makuhani wa nchi za Africa.
Prigo alikuwa ni Arun na Putin ni Mussa, hawa ndiyo wanaimbwa na waafrika kuwa wamekuja kuwatoa utumwani.
Waafrica wanaamini wakishirikiana Wagner na Putin Africa itafika kiwango cha Korea Kusini within a year.
GOD HAVE MERCY ON BLACK PEOPLE.
GOD HAVE MERCY ON BLACK PEOPLE.
 
Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga! Niambie ni muuza nyama yupi alikufa kifo cha salama! Kumuonea hurum Prigozhin ni unafiki wa hali ya juu..
Kuuza nyama sio dhambi kiongozi...

.nyama ni chakula ( kitoweo) tu hivyo kuchinja, kula na kuuza nyama ya mnyama mwenye kwato iliyopasuka katikati au ndege isipokuwa wanaokula nyama, bundi ni ruksa, ila damu ya mnyama au ndege aliyechinjwa ndio hutakiwi kuila.
 
Mkuu mzee wangu alikuwa na mabucha ya nyama na yeye alitufundisha/amenifundisha Mie kuchinja nk lakini amekufa kifo cha amani akiwa na miaka 80 na siku kadhaa.
Kuhusu Prigozhin kwa kweli amepata alichostaili! Hasa nikikumbuka ile video ya jamaa anapigwa na Nyundo kichwani mpaka kufa na yeye akibariki jambo hilo basi naona Hata hichi kifo chake Mbona ni cha anasa sana…. The dude alistahili kufa kwa tabu nyingi sana and not that way!
Kwamba alistahili kufa in brutal and sadistic way?
 
Bora kafa, angeleta vurugu kubwa afrika magharibi na genge lake la wagner. Huko sahel na magharibi mwa afrika angeweza kupata ushindi mnono na kuhamia afrika mashariki, kusini na pembe ya afrika na kulifanya bara lote la afrika kuwa chini ya ushawishi wa urusi kama alivyosema kuifanya urusi iwe kubwa. Urusi iwe kubwa dhidi ya mataifa ya magharibi afrika ingegeuzwa kuwa uwanja wa vita na kujipatia maeneo yenye rasilimali nyingi kwa uchumi wao. Hatari sana
 
Kabla sijaendelea kuna haya maswali
Je ni kweli Prigozhin kafa?
Je ni kweli Prigozhin alikuwa kwenye ndege iliyopata ajali?
Je ni nani kamuua/alitaka kumuua Prigozhin?

Mpaka sasa shutuma zote juu ya kifo cha huyu mbabe wa vita anatupiwa boss wake wa zamani na mshirika wake wa karibu Vladimir Putin rais wa Urusi

Prigozhin kabla ya kuanzisha kampuni kubwa ya ulinzi Wagner group (kwa msaada wa Putin) alikuwa mpishi wake Ikulu ya Klemlin na mtu wake wa karibu sana!
Kampuni ya Wagner group chini ya prigozhin ni kampuni tishio ya ulinzi kwenye ulingo wa vita.. Ubabe ukatili na ushetani wake mkubwa umeipa umaarufu mkubwa wa kuogopewa duniani kote! Kuna tofauti ndogo sana kati ya Wagner group na Magenge ya madawa ya kulevya kama Mundanarco cartel
Kwahiyo kama ni damu za watu zilizomwagika kupitia kwenye mkono wa bwana Prigozhin si haba ni kwa maelfu kama si malaki
Hapo hatujahesabu walemavu kupitia uovu na ukatili wa Wagner group
Kuna wajane na wagane
Kuna maelfu ya yatima
Kuna uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu
Kuna wakimbizi
Kuna waliofilisika na kufilisiwa
Kuna waliobakwa na kufanyiwa matendo machafu kabisa kupitia ama mikono ya prigozhin ama kwa amri na maelekezo yake..
Hivyo huyu bwana ni katili ni dhalimu aliyejawa na ushetani wa kila namna..

Amekuwa msaada mkubwa kwa Putin kwa mambo mengi ya kivita lakini kubwa likiwa ni hili la vita na Ukrain.. Ni kwenye vita hii ndio pengine alijiona mkubwa kuliko boss wake na kwa mazingira yasiyofahamika vema akajaribu kufanya mapinduzi mwezi uliopita.. Jaribio hilo nalo katika hali ya kushangaza likiwa linaelekea kufanikiwa likasitishwa kwa kile kilichosemwa na Prigozhin kuepuka kumwaga damu za Warusi wasio na hatia

Yaliyotokea ni mengi tangu hapo mpaka bwana Prigozhin alipoibukia Afrika Magharibi na kuahidi kuifanya Urusi yenye nguvu na imara zaidi!

Hii sentence ilibeba tafsiri kubwa na pana sana! Kwa maadui na hata marafiki zake lakini kubwa kuliko yote kwa boss na mtu wake wa karibu bwana Putin...

Sasa inasemekana Prigozhin amekufa kwenye ajali ya ndege iliyodunguliwa mjini Moscow.. Pamoja na yeye alikuwepo msaidizi wake na watu wengine nane..!

Sijasikitisha na kifo chake.. Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga! Niambie ni muuza nyama yupi alikufa kifo cha salama! Kumuonea hurum Prigozhin ni unafiki wa hali ya juu.. Kaua wengi na katajirika kwa kuangamiza roho zisizo na hatia
Kama ni kweli kafa kafa kifo cha kitakatifu mno! Alipaswa kufa kifo cha mateso na ukatili mkubwa! View attachment 2728010
Mkuu ni wapi hayo mazishi ya halaiki yalifanyika?

Pia nukuu yako imenichanganya kidogo.

Ndege iliangukia karibu na mji wa St peter, hapa wewe umesema Moscow!

Kuibukia West and Centra Afrika hajaibuka baada ya uasi, bali ana miaka kajichimbia maeneo hayo akitoa "huduma" za kijeshi.
 
This is the real Ukraine. For those who are looking for war... this is the result of WAR. Dead bodies, disposed of without dignity ....over 250,000 Ukrainian soldiers forced to die in a senseless war by NATO and the US ... American is pure evil

Kuhusu eneo la ajali nadhani uko sahihi
 
Kabla sijaendelea kuna haya maswali

Je, ni kweli Prigozhin kafa?
Je, ni kweli Prigozhin alikuwa kwenye ndege iliyopata ajali?
Je, ni nani kamuua/alitaka kumuua Prigozhin?

Mpaka sasa shutuma zote juu ya kifo cha huyu mbabe wa vita anatupiwa boss wake wa zamani na mshirika wake wa karibu Vladimir Putin rais wa Urusi

Prigozhin kabla ya kuanzisha kampuni kubwa ya ulinzi Wagner group (kwa msaada wa Putin) alikuwa mpishi wake Ikulu ya Klemlin na mtu wake wa karibu sana.

Kampuni ya Wagner group chini ya prigozhin ni kampuni tishio ya ulinzi kwenye ulingo wa vita.. Ubabe ukatili na ushetani wake mkubwa umeipa umaarufu mkubwa wa kuogopewa duniani kote. Kuna tofauti ndogo sana kati ya Wagner group na Magenge ya madawa ya kulevya kama Mundanarco cartel.

Kwahiyo kama ni damu za watu zilizomwagika kupitia kwenye mkono wa bwana Prigozhin si haba ni kwa maelfu kama si malaki
Hapo hatujahesabu walemavu kupitia uovu na ukatili wa Wagner group
Kuna wajane na wagane
Kuna maelfu ya yatima
Kuna uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu
Kuna wakimbizi
Kuna waliofilisika na kufilisiwa
Kuna waliobakwa na kufanyiwa matendo machafu kabisa kupitia ama mikono ya prigozhin ama kwa amri na maelekezo yake..
Hivyo huyu bwana ni katili ni dhalimu aliyejawa na ushetani wa kila namna..

Amekuwa msaada mkubwa kwa Putin kwa mambo mengi ya kivita lakini kubwa likiwa ni hili la vita na Ukrain. Ni kwenye vita hii ndio pengine alijiona mkubwa kuliko boss wake na kwa mazingira yasiyofahamika vema akajaribu kufanya mapinduzi mwezi uliopita.. Jaribio hilo nalo katika hali ya kushangaza likiwa linaelekea kufanikiwa likasitishwa kwa kile kilichosemwa na Prigozhin kuepuka kumwaga damu za Warusi wasio na hatia

Yaliyotokea ni mengi tangu hapo mpaka bwana Prigozhin alipoibukia Afrika Magharibi na kuahidi kuifanya Urusi yenye nguvu na imara zaidi.

Hii sentence ilibeba tafsiri kubwa na pana sana! Kwa maadui na hata marafiki zake lakini kubwa kuliko yote kwa boss na mtu wake wa karibu bwana Putin.

Sasa inasemekana Prigozhin amekufa kwenye ajali ya ndege iliyodunguliwa mjini Moscow.. Pamoja na yeye alikuwepo msaidizi wake na watu wengine nane.

Sijasikitisha na kifo chake.. Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga! Niambie ni muuza nyama yupi alikufa kifo cha salama! Kumuonea hurum Prigozhin ni unafiki wa hali ya juu.. Kaua wengi na katajirika kwa kuangamiza roho zisizo na hatia.

Kama ni kweli kafa kafa kifo cha kitakatifu mno! Alipaswa kufa kifo cha mateso na ukatili mkubwa.

View attachment 2728010

Aisee
 
Vike vike amesaidia kuzuia wadhalimu kama NATO huko Iraq, Syria, Ukrain Mali nk.
Huwa nawakubali sana watu waliokuja na mfumo wa tofauti kuliko tulivyozoozea.
Wagner ni muhimu sana katika harakati mpya za kiukombozi.
Hdpo kabla watu wanaotaka kujitenga waliitwa wanamgambo au waasi ba ki.inyws ba TAWSKA dhalimu sasa Wagner wabatoa back up ta nguvu na kumtoa mtawala dhalimu.
Mambo mengine ni matokeo ya vita.
Haya majeshi ta seriksli nayo yalitingwa na watu kutudhibiti watutawsle, watunyonye na yamefanya mengi mabaya kwa mwamvuli wa jeshi la uma.
 
1692954065709.jpg
 
Back
Top Bottom