Recent content by renatus kivike

  1. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

    wakuu hamuijui hii kitu inaitwa seal team six nijuavyo mimi kwa historia tangu osama ameanza kuwa traced ikitokea tu imetangazwa kauawa inakuwa haipiti mwezi au miezi miwili babu anaruka hewani na video kwamba he is still alive lakini tangu mission ya abbortab imekamilika ni kiiiimya so...
  2. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Selikali mmekopa Stanbic sasa wanatukomesha

    mkuu mbona jamaa kaeleweka vizuri tu watu 23 wameshamuelewa wanajadili mada wewe ndugu yangu unakichwa kigumu kiasi gani kutoelewa tozo ya 12000 kwa current account ni kubwa? na imeongezeka kwa asilimia1200?
  3. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    nguvu ya umma na mungu
  4. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    yaani ukiwa kwenye nyumba ya vioo uwe mstaarabu usichokoze watu kaa kimya
  5. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

    samahani kaka le mutuz ndio mdudu gani?
  6. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

    haya bwana naona umelipwa kwa kutriga watu wapate ban poa bwana
  7. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    mkuu amini picha hii inafanana sana ile ya video iliyorushwa na ITV jana mimi nimekulia maeneo hayo nilithibitisha jana pale ni faya na mimi nilikuwa nakaa karibu na garage ya abood ivyo ndivyo ilivyokuwa amini mkuu
  8. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    yeh unaweza kuwa sawa miarubaini na kijrami ndio vimenichanganya
  9. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    yeh nimekubali hapa ni tumbaku morogoro kuelekea k/ndege kwenye mkutano
  10. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    yeh uko sawa mkuu kuna jamaa anajiita tanira ameshapigwa ban
  11. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    kimbilio la walofeli ni ualimu na upolisi by roma mkatoliki.
  12. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    nasikia hammer inakadiliwa kuwa kama b1 hivi
  13. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kutingisha Morogoro

    si sahihi mkuu tutulize jazba their job is to obey orders., to obey orders for people die that's all. wa kushughulikiwa ni watoa orders
  14. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ahadi za CHADEMA waanza rasmi huko Arumeru

    wadar hawawezi kuwa chachu kwa kuwa aslimia kubwa ni wazee wa dili na michongo wanaupenda mfumo uliopo
  15. renatus kivike

    JamiiForums Tanzania NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    yuko sawa kwa nafasi yake kwenye chama chake huo ni msiba kupoteza jimbo
Back
Top Bottom