Recent content by renall big

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ana tabia hizi, jua umeoa mwanamke Malaya (slut)

    Kila mwanamke anae mapungufu na mazurie,biashara kila demu anafanya kwa namna yake si kwa rangi ya nywele au tatoo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Looking for gentleman

    Sasa mbona wantongoza weye?
  3. R

    JamiiForums Tanzania John Travolta anapaki ndege nyumbani kama vile ni magari

    Dah kwakweli sisi bado sana
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa kuwarahisishia wakazi wa Kigamboni maisha(Azam mwendokasi)

    Huu sasa ndo uwekezaji sio akina lugumi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la SKOL: Wafuatao pia wachunguzwe

    Hivyo ndivyo tunavyoliwa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na mfumo Kristo

    Ndugu zangu Waislamu,ni lini mtaacha ulalamishi?kote duniani ulalamishi hsukuleta suluhu bali uhasama.tuache rais afanye kazi yake nasi bila kujali dini zetu popote tulipo tuonyeshe bidii ilisasa hata ikifika wakati rais akawa mwislamu na akawa na wateule wengi wa upandemmoja tuhoji.kikwete...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Viti Maalumu ataka kulia akipinga Bunge kuonyeshwa "Live"

    Inawezekana jamaa alijichanganya tu badala ya ccm akasema ukawa hasa hili la beibi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

    Walau sasa watu wataeshimu haki miliki
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanaanza kurudi tena upinzani

    Dola makini haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kukataa mwaliko wa Uingereza na kwenda Uganda, Rais sikuungi mkono

    Tujifunze kuamini kua sisi ni muhimu kwao.yy ni pm anaenda kukutana na pm mwenzie huyu ni rais anaenda kushuhudia kuapishwa rais pia
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jamhuri yakata rufaa kwa mara ya pili dhidi ya kesi inayowakabili Kitilya, Shose na Sioi

    Kama hakihaikuonekana kutendeka ni jambo jembo jema kukata rufaa.tusipende kuendelea kujizoeza kua selikali siku zote hushindwa mahakamani hata kwa kesi ambazo ni red hendedi.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Tunamshkuru mengi tumeyajua chini ya uongozi wake,tv ,nguo mpya za dukani,kuondoka kwa ugawaji ,rtc,nk. Nakushuhudia kuja kwa kina Mo ,Azania, Azam,nk amefanya aliofanya na amearibu alioaribu.namsifu tu kwa kuwalea watoto wake wasiwe malimbukeni na mafisadi kama wengine
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vya Azam vibovu

    Kwa matatizo yote ya Azam tv kingamuzi nendeni ofisi za azam zamani national milling buguruni
Back
Top Bottom