Sakata la SKOL: Wafuatao pia wachunguzwe

Sakata la SKOL: Wafuatao pia wachunguzwe

Kama ni hivyo hata makondakta nae kala mana alikua dc hapo kino .....ila kubebana ni hulka ya chama
 
Niliambiwa kwamba kaongezea barabara ya Nyerere kipande cha airport kwenda Mombasa na ipo vyema
Hakuishia Mombasa, kaenda mpaka Gongolamboto pia kaanzia kiribia na Sekondari ya Pugu mpaka kajiungeni.
 
Back
Top Bottom