Ili uitwe msomi ni lazima uwe na uwezo wa kuelewa mambo mengi zaidi ya yale unayofundishwa darasani, so si sahihi mhitimu wa chuo kikuu awe hajui kuandika barua ya kuomba kazi.
Walimu safari hii tukubali liwalo na liwe kwani kuna habari za kuaminika walimu wakuu na wakuu wa shule wameitwa na maafisa elimu wilaya na kuwapa form ili walimu wajaze kama wanajihusisha na mgomo au la hii ni divide and rule walivyo baadhi yetu waoga basi utakuta wanajaza hizo form hebu...
usaili unaweza ukawa sahihi kama wakizingatia taaluma ya m2 husika.mfano kama m2 ni mkandarasi apewe usaili kwenye mazingira yake ya kazi na apewe kaz ya kikandarasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.