Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,242
- 1,472
Walimu kesho mkigoma mnafukuzwa kazi sijui mtakimbilia wapi na division 4 zenu..nyie msikilizeni Mkoba. mwenzenu kila siku anapokea posho ya nguvu tume ya katiba.
ngoja nikwambie kitu nani alikwambia kwamba shule ikifungwa mwalim naye anafunga? shule zinapofungwa mwalimu anatakiwa aende kazini na kufanya kazi zake sawa na mfanyakazi mwingine yeyote na asiposain attendance book ni kosa kisheria na anatawajibishwa.
Vipi naona leo mauzo sio mazuri ukizingatia mwezi huu umtukufu katege mida hii labda siku haitapita patupuWalimu kesho mkigoma mnafukuzwa kazi sijui mtakimbilia wapi na division 4 zenu..nyie msikilizeni Mkoba. mwenzenu kila siku anapokea posho ya nguvu tume ya katiba.
Mazee hebu acheni kuleta habr za uongo jamani, shule hazijafungwa ila ziko karibuni kufungwa manake zitafungwa tarehe 3/aug sisi mgomo unaanza kesho. na hizi zinazfunga ni primary schools wala siyo sekondari. yaani jamani mnanikwaza sana mnapoleta taarifa za uongo juu ya huu mgomo tuacheni jamani.
Vipi naona leo mauzo sio mazuri ukizigatia mwezi huu umtukufu kakitege mida hii labda siku haipita patupu