Mshahara

Renald

Member
Mar 1, 2011
27
0
Jamani naomba kuuliza, hivi ni kweli mshahara utaongezwa 40%? Na je, itaanza lini. Naomba mnaofaham mnifahamishe
 
June 2011 imelipwa, Tujulisheni kuhusu hiyo nyongeza kwani kwetu umeme haujulikani tena unawakaga saa ngapi ili uone radio au tv.
 
Back
Top Bottom