Recent content by Remembrance

  1. R

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Celebrities hawajawahi kusaidia kushinda uraisi in US. Tuliyaona kipindi cha Hilary vs Trump.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Waliberal wamepigwa pigo takatifu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Israel yatangaza mashambulizi mapya dhidi ya Iran

    Natanyahu aondoke atuachie nchi yetu. Wapendwa wetu bado wameshikiliwa ndani ya mahandaki kwa sababu yake. Shenzi kabisa. Waisrael hatujawahi kuishi kiunyonge kiasi hiki. Ole wake akatize kwenye anga zetu. Asisahau kilichomkuta Rabin 1995.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna la kujifunza katika mahojiano ya huyu mwanakijiji wa Kigoma na mtalii Kino Yves

    Loved it 💯. Huyo dada wa Kiha ana kiherehere. Mgeni kafika tu, kaisha dandia ndinga ya mgeni, na picha juu. Angekuja na Ferrari yake, angeondoka nae. At the same time, anajua kukaribisha wageni 👍
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

    Killa la kheri. Kumbuka kwamba unawakilisha nchi yenye watu zaidi ya million 61. Piga kazi kwa bidii.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  7. R

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

    Gonjwa hilo (stress). Jihadhari sama na hilo tatizo. Ni kama Mumiani mnyonya damu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndege za Abiria hazina "Ejection Seats" kama ndege za kivita kusaidia kuokoa maisha ikitokea ajali?

    Yaani ile Airbus ya watu 600 l, halafu wote wawe ejected, mhh! Sio mchezo. Yaani ni kama kutengeneza ajali nyingine. Gharama sasa, nadhani ticket za ndege zitapanda maradufu. Binafsi sioni tuja ya hizo ejected seats kwenye commercial aircraft.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

    Syllabus za vyuo vya Tanzania sio mchezo. Ndio maana Wakenya wanatupiga darizi huko nje ya nchi inapokuja kwenye skilled labours. Hasa hiyo Diploma in Sociology ndio usisubutu. Yaani hiyo utatembea na vyeti vyako mpaka Viatu vinaenda upande na kazi hupati, labda uwe na connection.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna Wizara ya Afya, Wizara ya Ustawi wa Jamii, Watoto, Jinsia na Walemavu wao wanafanya kazi gani ikiwa Makonda ndio anasaidia wahitaji?

    Safi sana mkuu. Hii ni hatari sana pale system inapotegemea ma superstar leaders kama Makonda badala ya kuwa na mfumo maalum wa uongozi. Hii ni sio hali nzuri kabisa.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

    Duh, Israel kashindwa kumpata mjerumani kulipiza kisasi cha Holocaust, kaamua kurudia yaleyale kwa wapalestina. Sio mchezo. History is doomed to repeat itself.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Mhhh! Taratibu mkuu. Ya kweli hayo? Au ndie zile story za wakina Juma Njemba ?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima zote ni haramu

    Haya Sheikh. Endesha gari yako bila Bima uone habari yake.
Back
Top Bottom