Recent content by relight

  1. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba Nzima ya Kupanga

    Habari za muda huu, ninatafuta nyumba nzima ya kupanga kwa ajili ya Ofisi. Eneo: Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Survey, Ubungo na Kinondoni na maeneo ya karibu na maeneo tajwa. Ukubwa: vyumba vinne au vitatu. Iwe na parking, eneo karibu na barabara, iwe na fence. Muhimu: Iwe na madirisha ya vioo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

    Kwa sasa niko Australia... Hebu jaribu Nchi nyingine... huku hakufai.. Kwanza Visa zake ni ngumu sana kupata.. Pia Kazi kupata ni Shida mno.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Frame Kubwa Inapangishwa Bamaga Ustawi

    Samahani Wadau, nilikuwa maeneo mbali na huduma ya Internet. 1. Kodi kwa Mwezi ni Tsh 900,000 2. Eneo lilikuwa linapangishwa kama lilivyo na Wenye Frame hawahusiki na Any Cost za Ukarabati wa eneo, ilikuwa aidha uchukue kama lilivyo au uache. Kwahiyo katika makubaliano na Mwenye Jengo ilikuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Frame Kubwa Inapangishwa Bamaga Ustawi

    Frame Kubwa (Futi 41 x 15 ) inapangishwa maeneo ya Bamaga Opposite Chuo cha Ustawi wa Jamii. Frame inaangalia Barabara kuu. Frame ilikuwa Studio ya Picha, Ina Patishen 4, Yaani Vyumba Vinne vilivyogawanywa. Frame yaweza kutumika kwa kitu chochote. Hata Mini Supermarket au Duka Kubwa, au...
  5. R

  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji makontena futi 40 na futi 20 yapo wahi mapema

    Weka namba zako... Au uniPM
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni ya Car Rental - Ukodishwaji Magari

    Tuwasiliane kwa namba hiyo hapo juu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni ya Car Rental - Ukodishwaji Magari

    Natafuta kuingia katika biashara na Kampuni iliyo safi ya Kukodisha Magari, nataka tufanye wote hii biashara pamoja. Tuwasiliane Tafadhali +255769711544
  9. R

  10. R

  11. R

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi bingwa wa Nissan X-Trail

    LEGE .... Hapo uko sahihi sana...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi bingwa wa Nissan X-Trail

    Tatizo la Watanzania ni kusambaza Stori bila kufanya research binafsi.... Nimekuwa karibu na hizi Gari Aina ya Xtrail kwa zaidi ya Miaka 10... Kuharibika kwa Gari ni kila Aina ya Gari... Je ni Gari gani haiharibiki?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi bingwa wa Nissan X-Trail

    Aisee Watanzania Wenzangu... Hamsomi kichwa cha habari wala habari yenyewe... Mnakuja kucomment tu... Eeeh... ANAHITAJIKA FUNDI.... SIO USHAURI....
  14. R

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi bingwa wa Nissan X-Trail

    Ndo wapi huko?? Kenkombyo
  15. R

    JamiiForums Tanzania Fundi wa Machine Za Picha (PhotoLab) ya Noritsu ANAHITAJIKA

    WanaJamvi, Hongereni kwa kuuona Mwaka Mpya 2016. @016 iwe ya Kheri kwenu. Mwenzenu ninatafuta fundi wa Machine ya Kutengenezea / Kuchapisha Picha. Machine ni Noritsu 3311. Ninahitaji kupata fundi maana nilipata mmoja ila anazungusha sana. Tafadhali tuwasiliane hapa. Au Whatsapp 0769711544
Back
Top Bottom