Habari za muda huu, ninatafuta nyumba nzima ya kupanga kwa ajili ya Ofisi.
Eneo: Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Survey, Ubungo na Kinondoni na maeneo ya karibu na maeneo tajwa.
Ukubwa: vyumba vinne au vitatu. Iwe na parking, eneo karibu na barabara, iwe na fence.
Muhimu: Iwe na madirisha ya vioo ya aluminium.
Bajeti yangu: Tshs 400,000 - Tshs 500,000 Kwa Mwezi (Awamu za Miezi sita)
Mawasiliano: +255 754898625 , +255 622898625
Tutafutane Tafadhali.