Mbona husemi bei?Heshima zenu wa kubwa, kwa wale wote wanaohitaji kununua content kwa shughuli zao karibuni yapo ya futi 40 na futi 20 karibuni sana.
Bei yake yanaanzia 3milion kwa content la futi20 na 6milion kwa content la futi40 maelewano pia yapo.
Weka namba zako... Au uniPMBei ni nzuri na maelewano yapo
Salaam Mkuu, container ulizonazo ziko kwenye hali gani? Unaweza ku-upload picha mbili tatu za nje na ndani? Zina full documents?Karibuni Wateja bado yapo