Anahitajika fundi bingwa wa Nissan X-Trail

relight

Member
Dec 30, 2015
24
2
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF

Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.
 
Ungesema gari ina tatizo gani ungempata fundi husika lakini kutaja xtrail pekee naona kama utachelewa sana kupata suluhisho
 
Gari inamlio fulani hivi, Nilidhani ni Wheel Bearings nikabadilisha zote 4 ila upo, hauna sauti sana huo mlio.
 
Baba badilusha ingine mpya nenda ilala zipo hiyo kitu ilimtesa jamaa yangu kwenda kwa fundi akasema utapoteza pesa na tatizo alitaisha ni bora uweke ingine used
 
ukiwa na xtrail ni bora kutafuta chumba/nyumba ya kupanga karibu na kwa fundi/garage
 
Aisee Watanzania Wenzangu... Hamsomi kichwa cha habari wala habari yenyewe... Mnakuja kucomment tu... Eeeh... ANAHITAJIKA FUNDI.... SIO USHAURI....
 
Tatizo la Watanzania ni kusambaza Stori bila kufanya research binafsi.... Nimekuwa karibu na hizi Gari Aina ya Xtrail kwa zaidi ya Miaka 10... Kuharibika kwa Gari ni kila Aina ya Gari... Je ni Gari gani haiharibiki?
 
hahaha mabingwa wa kukosoa na kulalamika kwenye ubora wetu.
nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza hata tooth stik,lakini ni mabingwa wa kukosoa na kufaham magari mabovu.watu wanatoa ushuhuda juu ya nissan wakati hata baiskeli hawana.poleni sana.

ingekuwa na shida ya umeme tungesaidiana kulitatua hilo mkuu
 
Hayo mavimeo aisee,br wangu analo kunafundi wake pale mwenge nadhani amejenga kabisa kwasababu ya kutengeneza hiyo gari.
 
Xtrail haina shida kama unaitunza. Mi naitumia mwaka wa tatu sasa. Acheni maneno yasiyo na uhakika. Mtu akiishiwa pesa ya kutunza gari anatafuta visingizio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom