Recent content by Relativity

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LUMIA

    Habarini wakuu,natafuta microsoft lumia 950xl,kwa dar es slaam naweza kuipata wap and for how much?
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DATE

    Wakuu habarini za usiku,nilikua naomba msaada kidogo,ni sehemu gani kwa hapa dar ni nzuri "for having a date with a woman",neither cheap nor expensive,just middle class and romanting kwa hapa dar ?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Profile yangu inanichanganya

    Na mimi limenikuta hilolhilo,profile inasema niko provisionally selected to NIT ila jina halipo na ni kama NIT wameshamaliza kutoa majina
  4. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kupatwa kipete kwa jua(annular solar eclipse) Septemba Mosi - Rujewa, Tanzania

    nimeweka kikarai nnje nimeona,tabata dar
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Microsoft smartphones

    Habarini wakuu, ni wap naweza kupata microsoft lumia 950/950xl hapa dar maana online (jumia,kaymu,kupatana) zijaziona ?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa course za web design?

    Za wakati wakuu,ni wap wanatoa short course ya web designing na wako vizuri hapa dar ?
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    YES
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

    Anajua uko jf pia ?
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nambeni mbinu za kupata one night stand kutoka kwa huyu dada

    Hamna haja ya ushauri maana mpaka umeamua kuacha mabegi kwake ulikua tayari unplan nzima kichwani ndo maana ukaona starting point ni kudeposit luggage,just finish what you started
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya mpenzi wako inayokuvutia zaidi?

    unauhakika una mpenzi ?
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona sijui kwanini?

    kwahiyo ina maana hamna aliewahi lala kwa nduguye na utuuzima wake ?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni uungwana? La hasha huu si uungwana

    unaniambia huyo mwanamke hafai halafu baadaye unamtambulisha eti huyu shemeji yenu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    marafiki ni watatu hivyo kila mmoja alirudishiwa 1$ ambayo kwaujumla ni 3$ ambayo ukijumlisha na 25$ ni 28$ ambayo ukijumlisha na 2$ ya karani unapata 30$ Nafikiri jibu ni hamna $ iliyopotea
  14. R

    JamiiForums Tanzania Human brains analysis: Woman vs Man

    i'd say no. 5 is true,women are good at spotting lies and men are good at getting caught
  15. R

    JamiiForums Tanzania While Valentine is approaching, Ten things Men need to learn about us

    Guess am ninety percent of that list
Back
Top Bottom