Recent content by Reina princess

  1. Reina princess

    'Pambana na hali yako', msemo wa hovyo na usio na maana unaopata umaarufu

    Hii misemo ya kuibuka ibuka huwa siipendi na kamwe huwa siitumii. Hata humu kuna huu msemo wa 'mkuu' unakera kweli kweli
  2. Reina princess

    Hivi EATV wamekosa kabisa wa kufanya nao vipindi hadi kufanya na huyu mkaa uchi????

    Duh wajiangaliage kwanza kabla hawajajiachia hivyo
  3. Reina princess

    Wadada mnavutiwa na makundi gani kati ya haya?

    Hahaha na wewe mule mule?
  4. Reina princess

    Wadada mnavutiwa na makundi gani kati ya haya?

    Acha tu. Mimi ndo nitakuwa kuni siku hiyo...
  5. Reina princess

    Wadada mnavutiwa na makundi gani kati ya haya?

    Napenda anayevuta sigara na kunywa pombe kama mimi...
  6. Reina princess

    Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Ndo dizaini hizo. Ni mwendo wa mtu na mkwewe kupishana koridoni na mataulo...
  7. Reina princess

    Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Kuna wengine hawana adabu kabisa kwa wakwe
  8. Reina princess

    Wanaume ndio wasambazaji wa HIV

    Tatizo pia walio wengi si waaminifu. Mwaweza kwenda kituo cha afya leo mkapima mkawa mko salama, kesho mmojawapo akachepuka. Inakuwa ni kazi bure. Uaminifu kwa mpenzi mmoja ni jambo la msingi.
  9. Reina princess

    Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Nimeshuhudia. Ingawa inawezekana isiwe wote
  10. Reina princess

    Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Wasukuma hawana mipaka ya ukwe. Baba mkwe anaweza kukaa na kibukta na kifua wazi mbele ya mkamwana
  11. Reina princess

    Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Ndugu yangu aliwahi kulalamika mama Mkwe anaingia mpaka chumbani kwao kupiga stori na bintiye. Mama anajifunga kanga anajipitisha hovyo hovyo. Hana chembe ya haya kuwa yule ni mume wa mwanae Ndugu alipochoka akalianzisha valangati kawatolea mbovu mwanae na mama yake, na kushusha kipigo kwa...
  12. Reina princess

    Mama mkwe wangu ana adabu kupitiliza

    Yup Kanda ya ziwa hasa wahaya. Hata kumwangalia mkweo anatembea ni mwiko. Ndo maana wahaya wale original kama ni mama kamwe hawezi kuishi kwa bintiye aliyeolewa except for very special circumstances
Back
Top Bottom