Recent content by Rehema Athmani

  1. R

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    habar zenu wadau naomba kujua idadi ya watu walioitwa kwenye hii intervw ya tra maana naambiwa kila aliyeapply ameitwa!!!!!!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    hesabu mchanganyiko kuanzia darasa la sita had fom four
  3. R

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    offcoz
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

    Sio mbaya sana, maana sasa wale waliokuwa wanaonga mia tano wataongeza dau
  5. R

    JamiiForums Tanzania TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    umeona eeeeee, mbona zile post zilizopita graduater wa TIA kibao tu walichaguliwa na sasa wapo makazini issue ni GPA na sio umemaliza wap.
  6. R

    JamiiForums Tanzania KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

    umeona eeeeee................ kama hujui kaa kimya, sio lazma uchangie mambo ya visiwan yameingiaje hapo?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ajira JWTZ na vikosi vingine

    oyeeeeeeeeeeeeeeeee....
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira ajira serikalini!

    ndo nchi yetu hiyo ndugu, mi nko mkoani na nilishawah kuapply kaz za utumishi mara kibao za ngaz ya asst. accountant katika wilaya ninayoishi but had leo utumishi hawajaita bt cha kushangaza watu washaajiriwa pale wilayani kwa contract na wanapiga kaz kama kawa,- ss watoto wa makapuku tunasubili...
  9. R

    JamiiForums Tanzania utumishi kwa mara nyingine tena.

    aisee hata mi nilipata shida sana kuziona, ndgu yangu mmoja akaniambia fanya hiv, nenda "Ajira.tz/new vancany 2013" then utaenda "nafasi za kazi utumishi tanzania may 2013.......
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za Leo hii zipo 58, 8/3/2013

    mmmm.... haya bwana ngoja tujaribu.
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba.!b-)

    haya bwana labda kaona ni njia mojawapo ya kupata kazi???????????????
  12. R

    JamiiForums Tanzania utumishi kwa mara nyingine tena.

    hi wadau, utumishi kwa mara ya pili tena wametoa nafasi za kazi zaidi ya 2000 tembelea website yao.kajarib bahati yako, ila daaaaa........... deadline mwezi wa sita kazini sijui lini tena.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni zile za may 28??

    hi, nimeona utumishi wameita, ila naomba kuuliza usaili huu ni wa tangazo la lini? au wa zile ajira 2000 za may 28?
Back
Top Bottom