Ni zile za may 28?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zile za may 28??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rehema Athmani, Sep 12, 2012.

 1. R

  Rehema Athmani Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hi, nimeona utumishi wameita, ila naomba kuuliza usaili huu ni wa tangazo la lini? au wa zile ajira 2000 za may 28?
   
 2. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Fungua soma utaelewa,si kik
   
 3. chuma cha reli

  chuma cha reli JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 1,794
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  hawa utumishi wanatuzingua coz hawaeleweki ni maombi ya lini hata mi wananchanganya
   
 4. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kukumbuka mweziMay ni kama kulikua na gumzo la ukosefu wa ajra, so mi naona serikali ilikuja na njia ya kuzima maneno. Pina nakumbuka zilitangazwa sana katika vyombo vya habari kitu ambacho sio kawaida ya Utumishi.

  Changa la macho lile!
   
Loading...