Ajira JWTZ na vikosi vingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira JWTZ na vikosi vingine

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mkwawa gabriel, Apr 27, 2013.

 1. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #1
  Apr 27, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nidhahiri kwamba jeshi la wananchi wa tanzania limeacha kuajiri vijana kutoka mikoani(Wilayani pamoja na vijijini) moja kwa moja kujiunga na jeshi hilo.

  Instead ina ajiri moja kwa moja kwa usahili unaofanyika kila mwaka ktk vikosi vya JKT ambapo Police,Magereza TANAPA na Usalama wa Taifa nao wanafanya Usahili wao hukohuko xo jamani na washauri vijana wenzangu ambao wanapenda kujiunga na(JWTZ,USALAMA WA TAIFA YAANI-TANZANIA INTELLIGENCE SECURITY SERVICE(TISS),POLICE,MAGEREZA TANAPA nakadharika nawashauri wajiunge kwanza na JKT ndio ita show way kujiunga na vikosi mbalimbali vya kijeshi hapa nchi.

  Mfano leo Vijana wa JKT wameondoka ktk kambi ya ITENDE Mbeyakuanza mafunzo ya JWTZ ktk kambi ya MAFINGA na kambi zingine za JKT Source fro insideITENDE COMBAT.

  NAWATAKIENI MAANDAALIZI MEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. M

  Mangiben New Member

  #2
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 27, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah asante kwa taarifa ndugu
   
 3. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2013
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Usalama wa taifa hauna mzunguko mkubwa hivo,usalama wa taifa ni nani anakujaua basi
   
 4. Ommossani

  Ommossani Member

  #4
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 13, 2013
  Messages: 46
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Nafasi ya kujiunga na hiyo JKT INAPATIKANA WAPI??
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,676
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  utapiga kwata na nafasi hupati chezeya ccm wewe!
   
 6. BUCHANAGANDE

  BUCHANAGANDE JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2013
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,398
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wewe kama siyo mtoto wa wana magamba hupati kitu hapo.
  Ccm oyeeeee
  Ajira oyeeee
  Maisha magumu oyeeee
  Nchi ya oyeeee
   
 7. T

  Tha Mafia. Member

  #7
  Apr 29, 2013
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi imeshauzwa hii jaman....unajiriwa according to whom you know and not what you know
   
 8. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #8
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mzunguko upo ndivyo ilivyo ivo(hawachukuagi makapi hata kidogo xo acha kujidanganya) but wanangalia vigezo vingi kama wwe ni mropokaji kuna mwaka wa maangalizi bado ukiwa JKT xo unaweza kuomba lakini vikosi vingine wakaondoka ila wwe ukabaki hii inafanyika kwasababu ya kukufuatilia na kuangalia kama wwe ni mvumilivu and if you can be touched usilikishe siri xo kule hakuna kujuananiwemugizi hata kidogo wao huchukua watu makini na ambao wanaweza kuwa na siri na mtunza siri na wanakufuatilia mpaka kwenu ulikuwa unaishi vp?na wenzio home mpaka vijiweni na jamii kwa ujumla na wanapenda watu wa kweli hasa UKIWA UNAFANYA INTERVIEW WANAKWAMBIA KABISA SEMA UKWELI KWA WATAKAYO KUULIZA KUHUSU MAISHA YAKO MAANA WAO WANAFUATILIA MPAKA HOME XO UKISEMA UONGO DEN HAUCHAAGULIWI ndo hapo sasa utaanza kusema ahaaaaaaaaaa wamechagua kwa kujuana no Truth and Facts of True is mostly needed plz GET TO KNOW DAT myn
   
 9. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #9
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si kweli usemi wako mbona ajira ni wazi na inafahamika kiukweli sie ni wazembe wa kufuatilia mambo ya ajira.Sie kama watanzania tunapenda sana kulaumu na kulalamika sana hasa mtu ukiwa hauna vigezo ndo hapo mambo ya mayoe yanapo anzia
  Nakushauri pia nawashauri wenzangu kwamba tusiishi kwa mawazo finyo juu ya mambo mbalimbali hasa katika sekta ya ajira si jeshini peke yake hata sekta nyingine pia Tukifanya ivyo Tutafanikiwa
   
 10. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #10
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No haija uzwa nchi hii labda wwe mwenyewe unaweza kuiuza kwakuto...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ok!!!!!!!!!!get to understand dat
   
 11. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #11
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwezi wa tano au wa sita!!!!!!!!!!! hawa walioenda kwa mujibu wa sheria ni miezi m3 tu xo subiri na endelea kupitia website hii Jeshi la Kujenga Taifa and soma matangazo utaona tu huo ndo ushsauri wangu wa kwanza.Ushauri wangu wa pili uwe mtafiti sana wa kutembelea afisi za wilaya yako ktk kamati ya ulinzi na usalama utapa info and not rumors plz maranyi humu ndani utakuta rumors na watakukatisha tamaa xana so stand up and do it for your self and you will achieve your plans and goals
   
 12. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #12
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona kama umekata tamaaaaaaaa vile plz usikate tamaaaaaaaa stand up mwezi wa tano au wa sita wanachukua tena JKT pia nakushauri xana tembelea websit yao WWW.JKT.GO.TZ and afisi za wilaya yako ktk kitengo cha ulinzi na usalama utapata majibu not majawabu na uwemfatiliaji wa karibu sanaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. M

  Mwanasazi JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2013
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Unayosema ni kweli lakini kwa vile kupata nafasi ni kujuana xo hata ya mambo mengine siyo issue utaambiwa mapema nini cha kufanya ili ufanikishe siku hz watu hawapigiani pande kizamani, xo huwezi kuweka mzigo, mi kuna mshikaji namjua alipigiwa pande TISS na ndugu yake, ni kweli alifatiliwa km mwaka 1 akiwa chuo na taratibu zilifatwa kama kawa, na kaingia lakini chanzo ni kujuana.
   
 14. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2013
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wewe hiyo usalama wa taifa unayoisema ni ile ya enzi za mwalimu ndugu yangu,nataka kukuuliza mimi hapa napokaa jirani yangu yaani kuanzia mzee, mke wake, watoto wote wanne wapo usalama wa taifa isipokuwa mmoja ndo amegoma amesema hataki plus watoto wake wengine wawili wa nyumba ndogo nao pia wapo usalama wa taifa.My question is of all Tanzania family yeye familia yake ndo inajua kutunza siri.Wewe fungua macho wacha kulala sasa hivi nafasi zote zenye ulaji wa kiulani zinapatikana kwa mpango yaani maybe ni 20% hazikai kwa mpango lakini 80% ni mpango tu na nani anakujua.Ukweli ndo huo ingawa najua ni ngumu kumesa kama upo kwenye system
   
 15. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habar? Fist Natanguliza shukran to al those who ar provided any infor above, ni msaada mkubwa sana kwa walengwa wa swala hilo kama mim, Wadau kwa yeyote mwenye any infor za lini nafasi za jkt zitatoka tena kwa awamu nyngne? Pls share wit us kwa anayefahamu hlo
   
 16. B

  BOSCOCASTO Member

  #16
  May 22, 2013
  Joined: May 21, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau mi nlkua nataka mninform hv kuna ukwel wowote kuhusu 4m 6 waliomalza mwaka huu ambao hawakupata fursa ya kwenda JKT wataenda kw awam nyngne hv n kwel au rumaz 2?
   
 17. Mu sengo

  Mu sengo New Member

  #17
  Jun 20, 2013
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa taarifa! pia jamani nina swali! je kwa sisi tunaokwenda jkt kwa mujibu wa sheria tunayo fursa ya kujiunga na jwtz na dola nyingine kama hizo?
   
 18. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #18
  Jun 21, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No ukimaliza unarudi nyumbani kule ni kujifunza maadili ila kama watawaitaji watawaambia
   
 19. R

  Rehema Athmani Member

  #19
  Jun 24, 2013
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  oyeeeeeeeeeeeeeeeee....
   
 20. P

  Planet New Member

  #20
  Dec 4, 2014
  Joined: Jun 4, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nataman nijunge TISS ila cjui pa kuanzia
   
Loading...