Ngoja niweke sawa kwani huyu aliepost haijuwi hii industry vizuri 50KG YA SUKARI= 93,000-94,000 Kwa bei za jana na 25KG ilikuwa 46,000-48,000 na 1k ilikuwa 2000-2200 kwa Dar es salaam. Mahitaji ya sukari kwa matumizi ya viwanda na brown sugar for domestic use jumla ni Tonne 590,000. Viwanda...