Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

Aug 19, 2015
48
29
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
 
Yah! Kuna giza mbele yao! Poleni.
 
Kife mara ngapi sasa?
 
Tusimkosoe kwa mihemko.

Hajatabiri chama kufa, ila kwa hali ya kisiasa ilivyo na tabia ya UKINYONGA ya watanzania, ni kweli kabisa safari ya 2020 ni ngumu kwa upinzani.
 
Masoud Kipanya naye anafanya kazi za utabiri siku hizi??? Hivi watu na akili zao timamu hawaoni anayoyafanya JPM ndo mambo ambayo upinzani umekuwa ukiyapigia kelele muda mrefu saana?

Hajafikia malengo ya wapinzani, ila amewafunga spidi gavana jamaa wa Chama Cha Majipu waliokuwa wana homola mali za umma. Bado tunamtaka akayatumbue na yale majipu yaliyoshindikana: AC, JK, YM etc
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
1458028849757-jpg.329866
Mimi nakubaliana na kipanya kwa asilimia zote! Unajuwa agenda kubwa ya upinzani iliyowafanya wakubalike kwa watanzania walio wengi hasa vijana ni Rushwa, Ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma. Sasa tangu Lowasa aingie upinzani hoja ya upinzani iligeuka gafla ikawa ndiyo hoja ya Dr John Pombe Magufuli na siyo ccm. Na tangu aingie madarakani amejaribu sana kushughurikia mambo yote yalioonekana ni kikwazo kwa wananchi na ambayo kimsingi watanzania wanayataka, mpaka sasa wapinzani hawana hoja na agenda ya kusimamia tena inayoweza kuwashawishi wananchi kama ilivyokuwa rushwa na ufisadi. Wasipojipanga watapoteza majimbo zaidi ya asilimia 80%
 
Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020

Huo mlimaaa au kijimlimaaa? Mbona hilo basi linapanda kiulaini tu hapo?
1458028849757-jpg.329866
 
Back
Top Bottom