Recent content by REDINHO

  1. R

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Hahahaaaaaaa.....ni kweli chuo kipo kisiasa zaidi lakini nasikitika sana mnapoanza kudharau hadi wanafunzi wasio na makosa....Mie ni muhitimu na najivunia kuhitimu Udom tena kwa ufaulu mzuri sana so nyie endeleni kubeza wenzenu tunakula mishahara minono inayotokana na Udom, tena pengine hata...
  2. R

    Nimezaa na mke wa Mtu

    Acha kututania hapa...ww una uhakika gani kua hiyo mimba ni ya kwako??? Yeye anaishi na mumewe na kwako anakuja mara 1 1 tu kwa kujiibiza so possibility ni ndogo sana ya kua ww ndo msababishi wa mimba...
  3. R

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    Maji hayajaribiwi kijana.....bora uangalie mambo mengine ya maana mana utapoteza hela zako bure...
  4. R

    Je, Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia kuanzia shule za sekondari mpaka vyuo vikuu? Jadili

    Naona unatania weye......na hukijui kiswahili vizuri ndo mana unaona kama ni lugha rahisi tu na bado haina uwezo wa kutumika hadi elimu ya juu lbda km hujawahi kufika huko ndo mana ukaona ni rahisi tu mkuu.....
  5. R

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Duuuuu wa Tz tupo nyuma jamani na inabidi tuamke sasa mana hata watu wa nje wanakuja nchini na wanatupita kirahisi tu....
  6. R

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ualimu kwa sasa hawezi akachukua kabisaaa kwa ufaulu huo tena haijalishi ni private au government mana sheria zinazowaongoza ni sawa ualimu kwa sasa ni kua mwombaji awe amepata kuanzia daraja la 1 hadi 3 kwa diploma of primary education tu na sivinginevyo aisee...so ajaribu kwenye fani zingine tu...
  7. R

    Serikali kutangaza ajira 40,000 za walimu

    Mbona kama hiyo idadi ni kubwa sana....hao walimu wote wanawatoa wapi????
  8. R

    Nahitaji kazi nyingine

    Umefikiria kwa mapana gani kabla hujachukua uamuzi stahiki?
  9. R

    Umaarufu wa Lissu Kupotea kwa Kasi: Ni Kutokana na Umahiri wa Naibu Spika, Dr Tulia

    Hahahaaaa..... hivi unafikiri kwa kutumia kichwa au makalio????
  10. R

    Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

    Hivi leo ina mana hamkuleta watu au wamekuja wenyeweee......Mm nlienda kuangalia show ya bure tu bhana ila kura kwa Lowasaaaaaaaaaaaaa
  11. R

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Igome tuu mana nao wamezidi kwa viherehere vyaoo vya kuiga kila kitu mana mwanzon walituambia eti hawatatumia chopa mana wapiga kura wapo chini na si angani xx leo wanazitumia na zinawagomea....
  12. R

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Ama kweli mbinu zimewaishia xx swala la ugonjwa wa mtu na sera vina uhusiano gani?? Mwenzenu nae katumia fursa hiyo kujinadi kwa kupiga push up.....Hatima ya maisha ya mtu anaijua mwenyezi Mungu peke yake...Hata huyo mnaemuona ni mzma kwa akili zenu fupi Mungu anaweza akamchukua muda wowote.....
  13. R

    Picha: ''Kufuru'' ya Magufuli katika uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar

    Xx hii kazi ya kubeba watu kila kona na kuanza kujisififia ina maana gn tena jamn? Ama kweli CCM hoi wanajitekenya afu wanacheka wenyeweeee.............
  14. R

    Deo Filikunjombe, Capt Slaa ni sababu nyingine ya kwanini sitaichagua CCM kabisa

    Hivi kila linalotokea mbona linahusishwa na siasa wakat mengine hayana hata uhusiano kabixaaaa?????? Suala la ajali na vifo vya wapendwa wetu hebu tuliweke kando kidogo na siasa jaman....
Back
Top Bottom