Recent content by Red tea

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Eng. Ngulangwa kwa wabunge wa Tanzania

    Jitahidi kuielewa katiba yetu, Rais ana mamlaka makubwa hadi kuitisha bunge na kulivunja muda wowote, cha maana tuangalie katiba yetu, je imevunjwa? Rais wetu hajavunja katiba, anachapa kazi. Huyo Engeneer wenu ACT mchunguze vizuri, inawezekana ni wale akina...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye wametumwa, Mbowe ni adui wa mabadiliko

    Kweli mimi nilishakaa pembeni zamani, nasubiri muda tu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamdindia Lowassa. Wasema kama amechoka CHADEMA arudi alikotoka

    Tatizo hujielewi, mbowe alivuta mulungula, akapiga chama bei, sasa hizo pesa zitamtokea puani
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA kuipasua CCM vipande vipande)

    Na umri huu bado huijui ccm? Tulia peke yake amewashinda, sembuse chama dola
  5. R

    JamiiForums Tanzania Uchu wa "IKULU" waiweka mashakani "KESHO" ya CHADEMA

    Nakuuga mkono %zote. Watu wanafikiri hatuipendi chadema, mbowe au lowasa, hapana. Tuliona hiki chama ni mbadala wa ccm iliyokuwa imejichokea, chadema yetu tuliyoiamini siyo hii. Muda wetu umepotea bure matumaini yetu yameyeyuka. TUTAANZA UPYA na watu na watu wakweli siyo Mbowe
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uchu wa "IKULU" waiweka mashakani "KESHO" ya CHADEMA

    T Tayari mbowe amechelewa, hiki chama tulikiamini kwa sababu ya watu makini kama Dr slaa, Chama ni kama dini kuna watu lazima tuwaamini ili tuwe wafuasi wao, Mbowe alituambia lowasa ni zezeta, Mwizi, fisadi, ahaminiki, ghafla anatuambia ni mtakatifu, anafaa kupewa hazina ya nchi ailinde...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira Kuhubiri Injili ndani ya siasa

    Inasemekana Msigwa alichukua KITU cha maana kutoka kwa FISADI MKUU ili afunge mdomo!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    VIATU VYA DR SLAA NI VIKUBWA by Lisu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

    Masikini chadema yangu inapitia njia ya kakazake akina. ... Hata hacha life tu limetusaliti sana. Utatuleteaje mwizi awe "Rais" wetu? Eti ameondolewa dhambi!!! Mbowe Mbowe Mbowe nitakuchukia milele
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama Mnyika au mbunge yeyote mwingine anataka kuondoka CHADEMA mwacheni aondoke

    Chadema ni tahasisi? Au hujui maana ya tahasisi! Chadema ya Dr slaa ndo ilikuwa tahasisi kila maamuzi yalipotishwa na vikao, na akina Mnyika wanaojitambua ni vigumu kubaki kwenye saccos. Chama kinaendeshwa na mbowe na mkwewe basi. Angalia ujio wa fisadi Lowasa, angalia katibu mkuu wenu, angalia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee yuko wapi?

    Na bado watapoteana sana, safari ya miaka mitano siyo lelemama, ndo kwaaanza kunapambazuka. Zambi ya kuuza chama chetu itawatafuna tu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Rwanda wanaweza kutusaidia kiteknolojia?

    Ukishalitaja hilo fisadi Lowasa unanitia kichefu chefu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Vikundi vya haki za binadamu vyatoa dukuduku lao kuhusu kuuwawa kwa watuhumiwa wa uhalifu

    Siku wakikuingilia kwako wakakuibia tena kwa mateso, au wakamuingilia mkeo au watoto wako tena mbele ya macho yako au wakaua ndiyo akili yako itatofautisha haki ya jambazi na raia wema
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa sasa aja na hoja ya kumwondoa Naibu Spika

    Sina shaka, UKAWA wamehama njia, hawajui wanaelekea wapi
  15. R

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa Lowassa na Kenyata, huku Magufuli na Odinga wanitia shaka

    Lowassa ni mpinzani? Poleni chadema, kusoma hamuwezi hata picha hamuoni?!!
Back
Top Bottom