Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 681
Where is Secretary General, the one took over from Hon. Dr. Slaa?
Mkuu, just point out one word that shows i have reached any verdict
Hamwezi kutusumbua hata kama ni nani aondoke CHADEMA itabaki imara tu.
Kama snaenda
Milango iko wazi
Chadema ni taasisi na sio mtu mmoja
Hatuwezi kuwa na chama chenye kutegemea watu fulani ingawa n muhimu kuwa na watu hao ila si bora kuliko chama
Chama hakiwezi kuhama mtu anaweza kuhama
Mwanzo mlikua mkisema ni majungu naona sasa tayari yameanza kuwafika kooni.Kaeni kimya tu wala sio kweli ni buku7 zinatusumbua
Afisa habari wachama si kashamaliza...!? Au wewe umuamini afisa habari 'wetu' wa chama? Na toka afisa habari akanushe...Umemsikia Mh. Nyika akikanusha kama Dr Willbrod alivyokanusha kwa Yericko? Au na wewe unalako jambo?Kama ni yeye aende tu.Mtu unakaje kimya kiasi hiki huku uvumi kila siku unashika kasi?Anashindwa nini kujibu?Inaboa!
Unajidanganya. Kwa sasa Chadema ni poyoyo tu; ni UKAWA inayowasaidia kwa sasa ingawa nayo will soon disintegrate.Hamwezi kutusumbua hata kama ni nani aondoke CHADEMA itabaki imara tu.
Chadema ni tahasisi? Au hujui maana ya tahasisi! Chadema ya Dr slaa ndo ilikuwa tahasisi kila maamuzi yalipotishwa na vikao, na akina Mnyika wanaojitambua ni vigumu kubaki kwenye saccos. Chama kinaendeshwa na mbowe na mkwewe basi. Angalia ujio wa fisadi Lowasa, angalia katibu mkuu wenu, angalia operations za chama kama bado zipo! Hata gari moja lilioandikwa M4C kama utalipata! Angalia zone 9 zilizotengwa nchi zima zipo? Hata ofisi hakuna. Ni suala la muda subiri usingizi utakwishiaKama snaenda
Milango iko wazi
Chadema ni taasisi na sio mtu mmoja
Hatuwezi kuwa na chama chenye kutegemea watu fulani ingawa n muhimu kuwa na watu hao ila si bora kuliko chama
Chama hakiwezi kuhama mtu anaweza kuhama
Watu tuko tayari hata kupigia jiwe kura kuliko mtu wa chama chenu hivyo hata aondoke nani hamuwezi kutudhoofisha.Tumewachoka kuliko kitu chochote katika hii dunia.Unajidanganya. Kwa sasa Chadema ni poyoyo tu; ni UKAWA inayowasaidia kwa sasa ingawa nayo will soon disintegrate.