General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Ni miezi michache imepita tuliposhuhudia Magufuli Akimkaribisha nyumbani kwake Chato Raila Odinga, waziri mkuu mstaafu wa Kenya. Ni kiongozi wa kwanza aliyekaribishwa na Magufuli katika East afrika hapa Tanzania.
Leo Lowassa kakaribishwa Kenya kuhudhuria kusimikwa kwa Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana nchini humo.
Tunajua Lowassa ni Mlutheri, sasa sijajua kaalikwa kama nani!!
Kwa mtazamo wangu mualiko wa Lowassa ni kama wa kisiasa zaidi, na inawezakua hii ni sababu iliyotumika kwa yeye kuweza kuonana na Kenyata.
Odinga ni Waziri mkuu mstaafu, alikihama chama chake cha Kanu kilicho mlea na sasa yupo ODM, Lowassa nae ni waziri mkuu mstaafu, alikihama chama chake cha CCM na sasa yupo Chadema.
Wote hawa wanautaka Urais katika nchi zao.
Magufuli Rafiki yake ni Odinga, na atafurahi pale ambapo Odinga akifanikiwa kuwa Rais wa Kenya, Kenyata nae Rafiki yake ni Lowassa, nae hivyohivyo akiwa Rais wa Tanzania.
Odinga akiwa Rais wa Kenya, nafikiri ndio mwisho wa Kenyata kwenye Siasa.
Je Kenyata nae akifanikiwa kuwa Rais wa Kenya kwa mara ya pili, kwa upande wa lowassa itakuajee 2020??