Recent content by Recover

  1. R

    JamiiForums Tanzania Clearing and fowarding anahitajika haraka sana!

    Anahitajika haraka sana yeyote mwenye experience ya clearing and fowarding, tuma CV yako sasa hivi kwa e-mail adress hii: cv.oneshillig@gmail.com
  2. R

    JamiiForums Tanzania Advertisement for new jobs/vacancies!

    We are here by need individuals to fill in the available positions very urgently!!! Company: Vipaji Link Position: Sales and Marketing location: Between Morocco and Victoria, AFRICAN BUILDING (3rd Floor). Experience: At least two years If your qualified send your CV through...
  3. R

    JamiiForums Tanzania HR OFFICER---Agent.

    QUALIFICATION at least Advance diploma in Human Resource,business administration,and related field. Minimum 2 years experience in Recruitment & Outsource operations. send your CV at "cv.oneshilling@gmail.com
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Mkojo umezua balaa huko mbagala.Watoto wawili mwesilamu na mkristo waliokuwa wakibishana umezua sokombingo baada ya asiyekuwa mwesilamu kumwagia kojo kwenye msalafu.Mwenzake alimwambia ukikojolea utageuka panya,hata hivyo baada ya kumwagia kojo,hakugeuka panya.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hawa ndugu zetu waislam kwa kweli! Ni Mungu gani wanaemwabudu!! Mtoto kakojolea msalafu, wao wanatoka kwenda kuchoma makanisa!! Inasikitisha sana!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Nasikia mbagala hali si shwari, kuna mtu kakojolea msalafu,sina habari zaidi
  7. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

    Huo ndio ukweli,Chadema haita weza kukiangusha ccm,
  8. R

    JamiiForums Tanzania MDAHALO: M4C, Hatima ni Mageuzi au Mapinduzi?

    Labda niseme tu kwamba,ni wazi kwamba watanzania wanahitaji mabadiliko,na Chadema kikubwa kilichfanya mpaka sasa, ni kuonyesha au kudhihilisha mabaya ya selikali ya CCM ,naipongeza sana kwa hilo,kwa maana hii ni hatua ya mwanzo. Kama Chadema kweli ni Chama cha kuiongoza, au kuikomboa Tanzania...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Recruitment & outsource general manager

    4 years or more experience in Outsource & Recruitment.Atlist bachelor degree,fluent in English and Swahili.Handsome salary will be offered.Send your CV at dicenmanagement@gmail.com
  10. R

    JamiiForums Tanzania Recruitment & outsource general manager

    We are looking for a General manager who will be responsible for running an outsource and recruitment firm in Tanzania.Kenyans are highly preferred, Experience of not less than 3 years is required.Send your CV at reachdavy@yahoo.com
  11. R

    JamiiForums Tanzania Namkubali mama Tibaijuka, lakini nimeona doa la kwanza kwake leo

    Huyu mama ni msemaji mzuri,lakini bado hana jawabu la matatizo ya wizara yake,si rahisi kuonyesha ufanisi katika mfumo unaoleta kushindwa.Pesa kidogo tulionayo iendane na matumizi,pia watu wenye uwezo na kazi hasa kitaaluma,
  12. R

    JamiiForums Tanzania Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Mimi binafsi namshangaa sana raisi wetu,anapataje ujasiri wa kwenda kwenda nje kwa hawa watu,ambao ni watu wa kudadisi sana jinsi utendaji wako ulivyo kabla hawajawa karibu na wewe, labda hayo mafuta na madini,ila zaidi ya hapo...wanakudharau tu,wanamuheshimu mtu anatenda hasa yule anayeonyesha...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Germany - Dr. Slaa alivyojidhihirisha kwa ulimwengu

    Kweli ni lazima uwe mzuri kichwani,hasa wanaangalia jinsi unavyoendesha harakati zako za ukombozi(unazodai unafanya),unajua kama unategemea misaada,halafu unaishi maisha ya juu,ukifumbia macho ubadhilifu,uzembe, mwenendo huu unawaudhi sana wafadhili hasa ukichukulia na wao mambo ni magumu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Siri za Uchunguzi wa Tukio la Dkt. Ulimboka zaanza Kuvuja

    Hakuna cha ajabu,hivi nyie mnategemea nini! Ni dhahili atatungiwa uongo wa namna hiyo,ikiwezekana kitatokea kikundi kilicho undwa na kitadai walihusika kufanya unyama huo kutokana na uchungu walioupata wa ndugu zao kupoteza maisha sababu ya mgomo. Mwisho wa siku kesi dhidi yao kesi itaenda...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wezi wa Tanesco ni Sengerema Engineering Goup Ltd

    Sidhani kama ni kampuni ya ngeleja,MKurugenzi mkuu wa kampuni hii anaitwa Joseph Masindi yupo pale ubungo NSSF building ndio ofisi yao.Sijui sana kuhusu utendaji wao wa kazi,ila kama ni kweli basi duh sitajaribu kuwatumia nikipata tenda
Back
Top Bottom