Recent content by rechungura1

  1. R

    JamiiForums Tanzania Urgently: Naombeni muongozo wa kufuata baada ya kupoteza vyeti vya taaluma

    hata necta wanatoa duplicate copy ya cheti chako.... m nlipewa baada ya kusubiria ten months
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada nimepoteza vyeti

    wanatoa cheti mbadala.. ni laki moja baada ya kutoa report polisi then unatangaza kwenye gazeti la serikali then unaenda na hzo document necta... baada ya hapo unasubilia kutengenezewa cheti mbadala.... m nlisubiria kama miezi kumi hivi ndo kilitoka.....
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    hii kwa wahaya tunaita akachumita mbogo unachanganya na maziwa... au enzitioma unachanganya na maziwa au mashika nguo unachanganya na enzitoima na kachumita mbogo unachemsha......... maelezo zaidi nipm
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    mimi naomba kujua taasisi zinazotoa misaada ya kujenga misikiti vijijini...... Vile vile naomba kujua taasisi zinazotoa ufadhili wa kuwalipa mshahara walimu wa madrasa... Maana kijijini kwetu elimu ya dini na sehemu ya kufanyia ibada ni mtihani shekhe wangu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA

    mkuu ukitaka bank account ya kimarekani tumia payooneer,geepay etc.... ukikwama check me through my inbox
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na miradi ya ujenzi kwa wenye kampuni za labor based technology

    Miradi yake ni kufanya matengenezo na ukarabati wa barabara kwa kutumia technolijia stahiki ya nguvu kazi... kazi zake huwa ni za tanroads,tarura, na halmashauri tenda zake huwa zinarange kwenye milioni 20 mpaka 50 Kwa anayehitaji mtaalamu mwenye cheti cha labour base anicheki nipo hapa..
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    jaribu taasisi inayoitwa help to help
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

    mimi mwenyewe nina tatizo hilo kwa sasa linanisumbua... mi ni muda wote ni meupe yana mapovu kama ya nyoka.... natumia dawa sa vidonda vya tumbo lakin wapi.... nakunywa maji mengi lakini no solution mwenye solution please anisaidie...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kujaa Mate Mdomoni

    Wakuu na mimi naomba solution. mimi ni men
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nipeni ruti nzuri ya magari ya Mbeya kwenda Bukoba

    Habari, Nipo Mbeya, Natafuta route nzuri ya kwenda bukoba. Usafiri ni magari ya Abiria. Wakati nakuja nlichukua route ya bukoba to dodoma to iringa to mbeya, ila n ndefu kinoma nlifika niko exhausted. Vile vile tulipofika pale Dodoma magari ya mbeya hayakuwa reliable so tulifaulishwa. Ilikuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Amazon KDP inalipa, hasa hapa Bongo?

    vile vile kuna free book promotion... halafu kuna website za kufanya free book promotion... vile kuna SEO.. Na kuhakikisha unachapisha vitabu vya kutosha
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

    Grey account, payooneer, wise etc zitamfaa... utachagua us bank account ambayo itakuwa virtual account.... so hyo ndo utakuwa unaitumia kudraw pesa zako then zikishaingia huko utakuwa unazitoa unaziweka kwenye bank account yako. Altenatively, unaweza chagua option ya kuwa unatumiwa cheque
  13. R

    JamiiForums Tanzania I need to develop a human computer computer interface

    how will you make money from your inventions
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri kwa Telecom engineer

    achana na voda,tigo think off kufanya kazi na makampuni ya marekani ukiwa tanzania yaan remotely. what is needed is skills. mfano nakupa pa kuanzia gonga hii coz by the tme unamaliza utakuwa ushapata connection kibao https://www.coursera.org/professional-certificates/google-it-support usisahau...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri kwa Telecom engineer

    mkuu kama umesoma telecom najua utakuwa uko vizur kwenye programming, engineering mathematics etc. nakushauri tafuta kazi za remote ufanye kama data analyst, automation engineer, data scientist etc, hata kama hauna huo ujuzi nakushaui utenge miezi kadhaa ya kujionoa na kung,arisha ujuzi wako you...
Back
Top Bottom