Recent content by rebeca

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa 21 x 18 meters, Segerea Chama, Mil 4

    ZeMarcopolo nisaidie mie sijajua huu ukubwa,je unaweza kutosha nyumba ya vyumba vinne na kuzungusha fensi?
  2. R

    JamiiForums Tanzania ...ulevii nomaaa hasa kwa dada zetu...

    mbona hajalewa.......
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa 21 x 18 meters, Segerea Chama, Mil 4

    mkuu wengine hatujui mahesabu,hio 21 kwa kumi na nane meters ndio kubwa aje??? ni hatua au...mimi sijui ,naonaga tu humu wanasema 70 kwa 70 ni hekari moja ila sijajua huwa wanazungumzia nini,metres au hatua ndio maana nikauliza kama mtu anaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne na kuzungusha ukuta?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa 21 x 18 meters, Segerea Chama, Mil 4

    hiki si kidogo sana wajemeni,mnaojua mahesabu tuambieni...kama heka moja ni 70*7O hiki hata robo heka hakijafika au?????je kinatosha kujenga nyumba na kuzungusha fensi??..mnaojua mahesabu mniambia nataka kununua.....
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kina dada visingizio vingi....

    we lead very stressful life,kazi watoto,hofu ya kuambukizwa magonjwa/nyumba ndogo na mwanaume kujenga mazoea kutokua mbunifu fore play ni hio hio everyday,hivi vyote vinatufanya 'libido' kwenda na maji lol
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    hata mie nahisi chadema wajipange upya kampeni huko arumeru....sio haya maigizo,wanachi sio wajinga.....
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jumba Lenye Underground Linauzwa bei chee.

    mkuu nina 40 million,ambazo i hope Nyani Ngabu atanikopesha.....
  8. R

    JamiiForums Tanzania nataka na mie nianze kuimba bongo fleva.......

    nimeona ni rahisi saana,unaimba tu nanana naniniii nanana naniiniii *20 baaasi lol,na watu wananunua......lol
  9. R

    JamiiForums Tanzania LADIES/women MSAADA pliz

    na kweli,tatizo ni hilo....PESA SABUNI YA ROHO....ukiwa nazo,wenyewe watajigonga au niseme mie nitajigonga....
  10. R

    JamiiForums Tanzania Totoz za UK shapeless namna hii bhana.

    jamani gypsy ndio akina nani??? tutoeni ushamba.....
  11. R

    JamiiForums Tanzania forums za kiinglishi

    hahahahah kongosho you are verry funny.....
  12. R

    JamiiForums Tanzania forums za kiinglishi

    hahahha what you say???it done yes...lol
  13. R

    JamiiForums Tanzania forums za kiinglishi

    jamani wekeni hapa forums kama hii jamii forums,za kiinglish nikajoin...nataka niimprove english yangu iwe kama ya akina nyani ngabu na kiranga,nimegundua muda mwingi natumia lugha ya kiswahili,nyumbani na familia tunawasiliana kwa kiswahili na pia online nasikiliza bongo fleva na kuchat nachat...
  14. R

    JamiiForums Tanzania tanzania.............kunaninii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    waethiopia waliokamatwa morogoro wakiwa wamezamia, i cant imagine,mtu anaacha alipo anakimbilia sehemu kama tanzania....kuna nini tanzania??????lol
  15. R

    JamiiForums Tanzania watu wengine kwa mikwara......

    ona hio njemba kushoto ilivyovaa......
Back
Top Bottom