LADIES/women MSAADA pliz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LADIES/women MSAADA pliz

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bodachogo, Mar 11, 2012.

 1. b

  bodachogo Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika approach zaidi ya 15 nilizofanya almost zote nimeambulia rejections,i m tired of being lonely can you assisst ktk njia ambazo zinaweza mfanya m/ke anase cz i feel insecure na sitamani ku-approach tena . Its very serious , Pliz assist me, sitaki kushawishka kununua ngono kabisa wala kijichua. How can convince you ladies,nimefikia hatua ya kuhisi mapenzi kama dhana tu ambayo haipo ktk ulimwengu halisi. Ahsanteni kwa kunisikiliza ila msaada wako wa mawazo ni muhimu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tafuta hela bwa mdogo utawakimbia mwenyewe!!! Hakuna siri hapo pesa uchawi wa kizungu.
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kukusaidia; dadavua hizo 15 approaches ulizotumia ili tuobe ulikosea wapi!

  Pia jielezee kidogo who r u as a person!
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  pole sana; maswali ya kujiuliza: Unataka nini?

  a. Unataka mtu wa kukupenda? (je unapenda na uko tayari kupenda)
  b. Unataka mtu wa kukupa ngono? (hili linaamuliwa na hela)
  c. Unataka mtu wa kukupa company (a cat and a little dog might be good companies)
  d. Unataka mtu wa kuishi naye katika maisha ya ndoa (uko tayari kwa ndoa)
  e. Unataka mtu wa vipi?


  Katika jibu lolote hapo juu - unatumia njia gani kumpata?

  a. Dada nakupenda kuliko pipi?
  b. Dada nakutaka njoo tungonoane?
  c. Dada hivi kwenu mnafuga mbuzi?
  d. Dada hivi kwanini hunipendi?
  e. Dada ningependa tufahamiane... naitwa...
  f. Samahani dada naomba unielekeze mahali naona nimepotea...
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni bora ujaribu kua rafiki kwanza, take your time,
  ukiwa rafiki utajua wanapenda nini na hawapendi nini,
  then utajua cha kufanya...
  It is just a suggestion, I don't chase girls :tongue:
   
 6. r

  rebeca Senior Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na kweli,tatizo ni hilo....PESA SABUNI YA ROHO....ukiwa nazo,wenyewe watajigonga au niseme mie nitajigonga....
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahaha sasa wewe kijana chekesha sana eti sitaki nunua ngono...kijana real world ngono utainuna in one form or another so weka mbali hiyo dhana ya kwamba utamu unapatikana free of charge
  kuhusu kupigwa chini wala usipate preaha itafika wakati utapata keep trying....ila una honga wewe maana inaweza kuwa ndio tatizo coz seems wataka utamu for free
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mh mi sio mzoefu sana na hayo mambo hata siyajui kabisaaa
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mapenzi si jambo la majaribio na inavyoonyesha kuwa unafanya majaribio. Apendaye kweli hakati tamaa na apendaye kweli haweki msururu wa aliowapenda. Inaonyesha unatafuta wapi pa kufanya ngono huku ukiukataa ukweli kuwa ngono ni biashara na ina wanachama wake ambao kinachowaunganisha ni pesa. Kama unachotafuta mapenzi basi inabidi upite kwenye hatuwa zake kwani si jambo la kulala na kuamka ukafanikiwa.
  Ushauri wangu kwako ni kuwa kwavile unatafuta ngono basi hiyo ya bure haipo ama uilipie au utalazimika huko kujichuwa!
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2013
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kumbe na huku upo? hahahaha
   
 11. mpasuajipu99

  mpasuajipu99 JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2013
  Joined: Apr 13, 2013
  Messages: 679
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  15 approches = ALL REJECTED (15)
  100 Approches = X
  therefore: 100 approches x all rejected (15) = X15 approches
  X = 100 x 15/15 = 100 ALL REJECTED

  AM I CORRECT?

  ACHANA NA MAMBO HAYA CHAPA KAZI WATAKUJA WENYEWE TU
   
Loading...