Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.
Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.[/QU

Ni kweli kabisa Chadema imepoteza mvuto Arumeru, lakini umekosea jambo moja.....watu wote wanajaa kwenye mikutano ya CUF na NCCR; sio CCM wala TLP, na kuna tetesi kuwa mgombea wa CDM anataka kuhamia CUF na wa CCM atahamia NCCR, hebu endelea kutujuza juha wewe
Nadhani kwa signature yako ulichokifanya ni haki kabisa....Nina uhakika kabisaaa....Wewe na ndala zangu za maliwatoni hamtofautiani..kukanyagwa kila ukiwa na haja...Sasa wewe hao waliokutuma wamekufanya ndala za maliwatoni na wala huna malipo yeyote zaidi ya kukanyagwa...
- :redface:
I'm like this post!
Hata Gadaffi alijifariji hivyo hivyoKampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.
Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.