...ulevii nomaaa hasa kwa dada zetu...

hiyo lazima imechanganywa na kiroba....yaani kama miye ndo nimempiga ofa,stage kama hio nachekelea tu najua mzigo lazima miusugue
 
kakaa na wewee ni wa mteremkoo asee...mpaka kitu kiwee chichaaaa
hiyo lazima imechanganywa na kiroba....yaani kama miye ndo nimempiga ofa,stage kama hio nachekelea tu najua mzigo lazima miusugue
 
angekuwa uswahilini huyu angeisoma,vijana wanavyopenda loose ball. angepigwa mshikaki au mtungo akili ingemkaa sawa huyo.
 
Sasa hii raha au karaha??????????????? Halafu utamsingizia shetani duuhh!!!!!!!!!!
 
Huyu hajalewa wala nini, anatangaza kuwa anahitaji kiboga tu! Hapo ukichukua ni kama kumsukuma mlevi vile! Mpaka tigo anakususia.
 
Back
Top Bottom