Kama hujui pa kuwapata hao wanawake wasiotaka hela plus experience yako ya kutongoza wanawake kumi na wote wakataka hela, should tell you something unless bichwa lako halijui ku analyse mambo!
Umetongoza wanawake 10 wote wanataka hela..
Hujapata picha tu kutokana na hio experience kuwa kuwa na mwanamke unahitaji hela?..
Eti unaenda kutafuta mwanamke asiyetaka hela, wapi huko?!
Deo nipe kazi lol..
Tatizo viongozi wa Tanzania wanashindwa hata kutumia gugo kupata maarifa...lol..
Sector inayoajiri zaidi Tanzania ni Sector ya kilimo, na iko underdeveloped namaanisha haiko utilised fully ingawa iko potential, hivyo basi ukiboost kilimo ajira nyingi zitakuwa created na...
Kuachana is natural..
Mmoja lazima aumie ndio maana mkafikia tamati....la sivyo mngekuwa pamoja still..
Wachache sana huamua kuachana na kubaki kuwa marafiki....
Wanawake wana bleed, hawadumu kwenye ndoa kama waliumiza wapenzi wao....WANAUME JE? walioumiza wapenzi wao zamani wanapatwa na...
Kuanzia alipooanza kuuza bandari zetu nikamuona hamnazo huyu mama...
Kuna watu waliokuwa wanafaidika na utawala wake, machawa yalikuwa yanamtetea, mseme hapa dp world wameleta tija gani hapa?! Now muda umepita twendeni kwa mahesabu atii...samia is the worst president in the history of Tanzania..
Mwambie huyo mwanamke huyo mtoto atapimwa vinasaba (DNA) akizaliwa...
Kama ikibainika mtoto sio wa kwako utaachana nae,
Lazima atajiongeza..
Unatakiwa kuwa na msimamo,,usipende kihivyooo..ukipenda sana utaruhusu mwanamke aku cheat, akuletee watoto sio wako kila siku..
Wala usiwe na presha...
Kwa hali hii ya kutekana lazima uulizie babu wewe?!
Kinachonishangaza ni kuona uko pissed na jambo dogo kama hilo, kama hupendezwi na kilichoandikwa si uende kny mada unazoziipenda?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.