Recent content by realleonia

  1. realleonia

    Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    Watumishi walilipwa May 22 baada ya hapo mnataka wakaibe hizo Siku ambazo hamjawalipa mtawafidia vipi Mbona ni rahisi tu serikalini inawakosea watumishi kwa kukaa kimya kwani wametimiza wajibu wao
  2. realleonia

    Rais kugawa hela hadharani, munalionaje hilo watanzania wenzangu?

    Kwa kufanya hivyo tayari kavunja Sheria za uchaguzi
  3. realleonia

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Matokeo Kama haya huwa Yana tufanya tuwe waoga na kutoa kauli kama sisi Ni wapita njia na akili zetu hutukaa vizuri tu. Lakini msiba ukiisha tunarudi kulekule kukomoana,kuchukiana,kuuana kuona wengine takataka kabisa najaribu kuwaza kw sauta kwamba huu woga Ni wakinafiki? Au Nani katuroga?
  4. realleonia

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Nipo Mbeya mtaa wa simike 4G ya kihuni net ipo slow mpaka laini nimetupa Ni aibu kwa Tanzania ya viwanda
  5. realleonia

    World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Watu wengine ni wa chawi ongeeni ukweli mtakua huru
  6. realleonia

    Serikali toeni haki kwa Kampuni za wazawa watangaze mipira mbali mbali duniani nchini.

    Sasa inakuaje serikali ya Naijeria inaingilia Kati na kusema kuwe na haki sawa mbona Kama Kuna kitu ambacho Mimi sikijui kipo chini ya kapeti halafu wenzetu Ulaya hiki kitu kipo free
  7. realleonia

    Serikali toeni haki kwa Kampuni za wazawa watangaze mipira mbali mbali duniani nchini.

    Aiseeh! kumbe ni gharama ndo inakua shida kwa makampuni yetu?
  8. realleonia

    Serikali toeni haki kwa Kampuni za wazawa watangaze mipira mbali mbali duniani nchini.

    Sababu ni Nini kwa wazawa kushindwa kupata haki za kibiashara hizo hapa nchini?
  9. realleonia

    Serikali toeni haki kwa Kampuni za wazawa watangaze mipira mbali mbali duniani nchini.

    Serikali ya Naijeria imethubutu kwa kutoa tamko kwamba wanakwenda kutoa ruhusa kwa makampuni ya vizimbuzi nchini humo kuwa na haki ya kumili ki maudhui ya urushaji Epl na Uefa na si DStv pekee Kama ilivyo sasa.Na sisi iwe hivyo tumepigwa vya kutosha jamani . Sasa hivi DStv wamepunguza Bei baada...
  10. realleonia

    Natafuta rafiki wa kike

    Rafiki gani uta mpata kwa vigezo vingi namna hiyo malaika wenyewe so wakamilifu sembuse binadamu loh!
  11. realleonia

    Tujiandikishe wajameni

    Wajitafakari shida iko wapi watu hawa endi kujiandikisha
Back
Top Bottom