Mungu anaangalia vyitu vyote
2 Wakorintho 7:1
Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Ajira portal kama hamuwezi kuwasaidia watu hamna haja ya kuwa na help desk, maana mtu anakuwa na shida anawapigia toka asubuhi mpaka jioni, simu ipo busy, na ikiita haipokelewi.
Kwanini msiajiri watu special kwa ajili ya kazi hiyo tu! Kama wanavyofanya mitandao ya simu!! Nyinyi ndo mnaoajiri...
Warumi 1:24
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Warumi 1:25
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
Warumi 1:26
Hivyo...
Tumia lessen yako hiyo ya Class C kufungua office yako ya installation! Usiwaze kuhusu swala la mtaji! Nenda hapo wilayani kwako kwenye office za Tanesco! Ongea na meneja atakupa muongozo, atakuunganisha na mactroctor wanaohusika na umeme!! Utafanya kazi nao!! Kumbuka hakuna nyumba inayoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.