Msaada Ajira Portal

gilldenu

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
2,914
3,002
Habari jamani,

Profile yangu imekamilika 100%. Na vigezo vyote navyo kama bachelor ya uhasibu na CPA lakini nikiapply kazi inanambia Job application failed, check professional requirements for the job post.

Na job post inahitaji internal auditor II, msaada mwenye kujua solution nini nifanye.
 
Mzee mimi napata same problem kwenye ICT yani wanataka stashahada ila nikiapply wanasema sina requirement hizo ni ujinga kwel kuchoshana
 
Hlo tatizo huwa linasolve kwa kubadilisha kozi ambayo inayoendana na kazi usika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom