Recent content by real hustler

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Una maneno sio ya busara Ilikuwa sehemu ya utafutaji
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Real 100%
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Ila niki komaa pesa si inarudi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Inauma kinoma
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Ila pesa itarudi si ndio, kama nimepoteza 1year for nothing siwezi acha kupambania pesa yangu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Ndio tuko zaidi ya 7 kwenye huo mchakato
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka Jumla tuko 9
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Mimi ni kijana wa miaka 29, baada ya kumaliza chuo nilipata intern ya kilimo ulaya mwaka 2023_2024 Baada ya kukamilisha nilirudi Tanzania kuendelea na maisha Sasa katika kupambana ninaye jamaa yangu tuliokuwa naye abroad wote akanishirikisha kuna fursa zingine za kwenda nchini canada yakuwa ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Morogoro ina mbu wakubwa nakijua nimetumiwa misukule usiku ininyonye damu Niliteseka sana nikiwa sua
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Iko hivi mkuu Vyanzo vingi vya matatizo yetu ambayo mara nyingi tunashindwa kuyatatua ukubwani tuliyapanda nyakati tukiwa kwenye mchakato wa maisha mda mwingine utotoni huku ukubwani ni kuvuna tu Mfano. Labda umewahi shiriki kufukuzwa shule kwa baadhi ya wanafunzi wenzako ukacheka now unavuna...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya mawasiliano kati yako na ndugu na jamaa ikoje?

    Ngoja nikushauri mkuu Boresha vyanzo vyako vya kuingiza kipata pia boresha mausuano yako na Mungu. Ukisha kuwa bora katika hizo njia mbili tafuta na chunguza mke mmoja anayeendana na hizo njia mbili. Utaishi kama mfalme katika hii dunia. Usidhani kuongea na watu wengi ni faida utapata stress...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kwenda Israel kwa program za kilimo

    Nisaidie kujua kitu ndugu Ukipata nafasi ya kwenda israel kwa program za kilimo Muda wa Program ukiisha ukaamua kubaki kama immagrant ili kukamilisha lengo fulani la pesa. Je, ukitaka kuondoka inawezekana mda wowote au taratibu zake zikoje zakuondoka. Na je nchi inatoa uraia baada ya kukaa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je Unataka kuwa Muisrael na kuhamia Israel?

    Nisaidie kujua kitu ndugu Ukipata nafasi ya kuja israel kwa program za kilimo Program zikiisha ukaamua kubaki ili kukamilisha lengo fulani la pesa. Je ukitaka kuondoka inawezekana mda wowote au taratibu zake zikoje zakuondoka. Na je nchi inatoa uraia baada ya kukaa nchini humo kwa miaka mingapi...
Back
Top Bottom