Recent content by Real Deal

  1. R

    Ifahamu Mikoa 11 Yenye Matumizi Makubwa ya Umeme Tanzania mwaka 2023.

    Kwa kiasi kikubwa Shinyanga inaendelea kuizidi Mwanza kwa wingi wa viwanda. Na ninadhani hii inachangiwa na kwanza upatikanaji wa maji ya uhakika kwa sasa, pili urahisi wa kupata ardhi kubwa kulinganisha na Mwanza, na tatu ni Barbara.
  2. R

    Ifahamu Mikoa 11 Yenye Matumizi Makubwa ya Umeme Tanzania mwaka 2023.

    Tulinganishe hizi data za matumizi ya umeme na hali ya maisha ya wananchi katika mikoa hii. Je matumizi makubwa ya umeme yanaendana na ubora wa hali ya maisha na upatikanajinwa huduma muhimu? Mwenye hizo takwimu atuwekee hapa tulinganishe.
  3. R

    Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

    Barabara Sasa ndo kivumbi
  4. R

    Mbeya haina hadhi ya Jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Umeongea kweli tupu mkuu, viongozi wa Jiji la Mbeya hawana ubunifu kabisa. Nakumbuka mara ya kwanza kufika Mbeya nilikua nashangaa kuona watembea kwa miguu wakifika barabara ya lami lazima wakung'ute miguu, nilikua kuelewa kumbe wanakung'uta vumbi. Kingine kicho udhi Mbeya traffic, barabara...
  5. R

    Nilifanikiwa kufungisha ndoa

    Rasta, hiyo asilimia 54% umeipataje??
  6. R

    Sipendi ugali kabisa na ninaishi

    Mimi nakuunga mkono, ugali ni chakula ambacho sikipendi kabisa, Nina miaka kadhaa sijala ugali, tena jumlisha na dagaa ndo basi kabisa. Nikija kukutembelea kwako nikakuta umepika ugali na dagaa azima niombe udhuru niondoke.
  7. R

    Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

    Sasa jomba sinaende hapo dukani ili ajue kama kuna copy ya risiti au la ndioo aanze machakato wa kupata mwanasheria au dolari za kutosha.
  8. R

    Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

    Mna ndoa ya kanisani, msikitini au selikarini? Na chanzo cha kuanza kulewa na kivuta sigara ni nini? Isije kua wewe ndo chanzo.
  9. R

    Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Duuh,hii huwa inanikumbusha mbali sana. Tukio hili la kifo cha Baba wa Taifa huendana na kumbukumbu ya Mimi kuachwa na demu wangu kipenzi. Nakumbuka nilikua Mwaka wa kwanza SUA demu alikua Mwaka wa kwanza UDSM. Dalili za kuachwa zilikuwepo, Weekend ya tarehe 8 nilikua nimeenda ili kujua hatma...
  10. R

    Ugali wa jana

    Mkuu Bujibuji ngoja nikupe njia ninayotumia mie kutotupa ugali. Hakikisha ugali unaobaki unauhifadhi kwenye friji ukiwa bonge Moja (unaweza kuuviriga kwa shepu unayotaka). Asubuhi chukua Ugali ukate slesi jinsi unavyopenda, hizo slesi zinyunyizie chumvi na pilipili manga Kwa mbali. Andaa...
  11. R

    Ili kununua Bunduki hapa Tanzania naweza kuipata wapi?

    www.tanganyikaarms.co.tz majibu yote utapata na taratibu za kupata kibali. Kazi kwako
  12. R

    Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Ni njia moja nzuri sana kama wewe ni adventurous na unwpenda Ku appreciate nature na hupendi usumbufu wa magari mengi barabarani. Unatoka Mbeya kuelekea Chunya kuelekea Tabora. Njia panda ya tabora unaenda kulia itigi. You will enjoy.
  13. R

    Wanawake wanaovaa vi-min na vi-skin tight wameumbika vizuri. Wabaya wanaishia kutamani tu

    Hivi bado wapo wanaovaa undershirt/gagulo/shumizi kweli?
  14. R

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Kipande kutoka Chunya Makongorosi hadi Sikonge
Back
Top Bottom