Recent content by Reachpoint

  1. Reachpoint

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Uber wenzangu naombeni Ushauri, Nimepata vichwa 3 natoka navyo Tegeta kwa ndevu mpaka Posta mpya na nina waacha kila mmoja ofisini kwake na kuwarudisha hom. Sasa nataka tengeneza mkataba wa mwezi, Je ni walipishe kiasi gani? , na wote financially wako vizuli wa3 wanafanya kazi Bank, 1 ni IT wa...
  2. Reachpoint

    Naomba ushauri Namna ya kuingia katika Taasisi za Kiserikali na Binafsi

    Habali nduguzo. Naombeni ushauri namna ya kuomba kibali cha kuonana na mkurugenzi au HR wa Taasisi tofauti tofauti. Nia na dhumuni, nina biashara yangu nataka ianzisha mda si mrefu ntakuwa nimesha sajiliwa kama kampuni na brela. Nahitaji kujua taratibu za kuomba kibali cha kuonana na...
  3. Reachpoint

    Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

    Kindly thanks [emoji56], Tunaitaji watu kama ww humu ndani [emoji1432]
  4. Reachpoint

    Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

    Mwaka jana nilipata tenda ya NGO kubwa sana hapa Tz, na aliye ipokea tenda Sis wangu wa hiari. Ilikuwa ni kazi ya Kutengeneza Barcode system. Nilifanya ile kazi from the scratch na kui represents kwa Wazungu na walipenda na ikapita. Sasa kimbembe kinakuja baada ya kupata kibali cha kufanya...
  5. Reachpoint

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    True Bro, ila kwa upande wangu nimesha jidhatiti kwa hili kwani na Mikataba ni vigumi sana mtu kunipiga Chini. Mpaka hapa nilipo fikia hayo yamesha nikuta sana nimesha piga dili na watu tofauti na nikambulia patupu, But hainikatishi tamaa, Naamini Mti wenye Matunda haukosi kutupiwa nawe, Na saa...
  6. Reachpoint

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48189833
  7. Reachpoint

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Hiyo 260mil ni kwajili ya Invetory ambayo naweza toboa nayo kwa muda wa miezi 5.
  8. Reachpoint

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Asante Ndugu kwa ushauri, Kwa Upande wa Bank wanataka cashflow ya Miezi6 nimesha enda Tanzania Investment Bank (TIB), wakaniambia wana fund Viwanda na sio Trading company. Kwa upande wa supplier wamesema mpka baada ya mwaka1 ndo wanaweza kunitumia mzigo na kulipia kidogo kidogo. Ndugu...
  9. Reachpoint

    Naitaji watu kwa kuwauzia hisa za kampuni

    Asanteni Ndugu kwa ushauri wenu. Kampuni ina jihusisha na Kemikali na watu wanao fanya hizi mambo ni foreigners naweza kusema mimi ni Mtanzania wa Kwanza Kufungua hii kampuni maana competitors wangu ni Foreigners. Nimejua hizi mambo baada ya Kufanya kazi kwa muda wa miaka 6 as a Managing...
  10. Reachpoint

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Hello guys, Nimefanikiwa kufungua kampuni na ku raise 100mil kama mtaji wa kuagiza mzigo. Changamoto niliyo nayo ni Demand ni kubwa kuliko supply. Naitaji investors wa kuwauzia hisa za kampuni. Kampuni imesajiliwa na inavibali vyote na pia inafanya Biashara na kampuni ya Kijerumani Naomba...
  11. Reachpoint

    Naitaji watu kwa kuwauzia hisa za kampuni

    Hello guys, Nimefanikiwa kufungua Kampuni na kuagiza mzigo wa zaidi ya Mil80. Changamoto iliyopo ni Demand ni kubwa kuliko supply, Naitaji watu kwa kuwauzia hisa za kampuni. Kampuni imesajiliwa na ina vibali vyote na ina fanya Biashara na Kampuni ya kijerumani. Napatikana kwa...
Back
Top Bottom