Basi fuatilia mpira kwenye channel za Kiarabu za BEING SPORT.. Huyo wa Mbao Vs Yanga anatangaza vizuri sana. Wale Waarabu wa Being Sport kama timu yako ndio imefungwa unaweza kuzima TV kabisa.
Kuna documentary moja niliwahi kuitazama aisee magari yaliyokuwa yanatiririka Loliondo foleni yake ilikuwa hatari. Kwa mujibu wa documentary ile inakadiriwa watu 3,000,000 walifika kupata kikombe cha babu
Chukua 3,000,000 × 500 ndio utajua mjini akili. Nguvu peleka shamba.
Ndio ujue haki sawa haipo. Unadhani hao wana harakati watafanikiwa kuondoa suala la mahali ? Kutoa mahali haimaanishi kumnunua,isipokuwa kukuonyesha tu suala la usawa halipo... Mwanamke abaki kuwa mwanamke na mwanaume abaki kuwa mwanaume....
Hao wanaharakati wako unajua wanaishi vipi ndani ya...
Kufunga ndoa kuna wakati kuna vita sana ya kiroho.
Pengine mwanzoni hali hii hakuoiona ila kadri muda unavyozidi kwenda ndio atajikuta anakosa amani na mwenzake kabisa. Ila ikitokea akaolewa tu maan yake vita ya rohoni ameishinda anaweza kujikuta ana amani na mumewe vizuri tu.
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.