Recent content by raymond.biyengo

  1. raymond.biyengo

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Gharama za meter separation ( kuwekewa mita ya peke yangu kwenye fremu ili nisichangie umeme na mwenye nyumba ? Na vitu gani vingine vinavyohitajika
  2. raymond.biyengo

    Rais Magufuli, hawa watu wako TRA wanachokifanya utachukiwa milele

    Huijui tra vizuri, kiwango cha chini cha Kodi ni 150,000 kwa mwaka,na unaruhusiwa kukipa kwahiyo awamu 4 kila baada ya miezi mitatu (37500 @ 3month) , Karina awamu hii Hakuna Kodi ya 60,000 Wala 45,000 nipo kwenye biashara mwaka WA 6 humu, usipende kuleta habari za kusimuliwa.
  3. raymond.biyengo

    Rais Magufuli, hawa watu wako TRA wanachokifanya utachukiwa milele

    Huijui tra vizuri, kiwango cha chini cha Kodi ni 150,000 kwa mwaka, Hakuna Kodi ya 60,000 Wala 45,000 nipo kwenye biashara mwaka WA 6 humu, usipende kuleta habari za kusimuliwa.
  4. raymond.biyengo

    Alex Msama, Mmiliki wa Gazeti la Dira Amwangukia Mwakyembe na kumuomba radhi. Amtimua kazi Mhariri

    Wamesema tusubiri , atatusimulia yeye mwenyewe Mhariri walichomfanyia. Teh teh teh!!!:):):)
  5. raymond.biyengo

    Kuna mwenye kuwafahamu World Church Service?

    watu wanaousika na wcs wanaoneka awajajipanga binafsi wali nitumia e mail kuhusu typing skill test leo saa 3 asubuhi hadi sasa hawajani inbox hita kuwa wasanii au maana siwasomi.
  6. raymond.biyengo

    MSD: Hamna dawa zilizopo njiani kutoka MSD kwenda Muhimbili tokea 2012

    Bado kidogo tu nitajua hili gari la Dawa lilipata Breakdown wapi ?
  7. raymond.biyengo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi Mwalimu UPENDO Z. MSAKI wa Shule ya Msingi HIDET Wilaya ya Hanang – KATESH Mkoa wa MANYALA natafuta mtu wa kubadilishana naye Aje Huku Manyala mimi niende Wilaya ya Kinondoni – DAR ES SALAAM. MAWASILIANO: 0762 571448 /0654 154085
  8. raymond.biyengo

    Kwa wale mliowahi kufanya interview utumishi nisaidieni kwenye hili jamani

    SOMA TANGAZO ULILOOMBA KAZI, ANGALIA WAJIBU NA MAJUKUMU YA NAFASI ULIYOOMBA UYAELEWE VIZURI NA MWISHO INGIA KWENYE MTANDAO USOME KWA UNDANI TAARIFA ZA OFISI UNAYOOMBEA KAZI Eg. Kama Umeitwa Wizara ya Mifugo, Fungua Website ya wizara hiyo usome kila kitu kinachohusiana na wizara hiyo husika...
  9. raymond.biyengo

    Waziri wa Viwanda Mwijage(CCM) aelezea yote kuhusu Sukari!

    Yaani mpaka raha kusikiliza:)
  10. raymond.biyengo

    Kondoo na radi

    Hii ni nembo ya kituo cha mafuta ya AGIP
  11. raymond.biyengo

    Ahadi ya Elimu bure kuanzia Primary hadi University, Je HESLB ifutwe?

    Kwanini Huamini Elimu Bure inawezekana Wakati Imetokea huko Hadi Baba yangu amesoma Bure shule ya msingi mpaka chuo . Nadhani ni busara kujiuliza kwanini sasa hivi kizazi cha Miaka ya 1980's - 2000's Tunachangia wakati Wazazi wetu walisoma Bure? Nataka Nikukumbushe tu hata hii Elimu ya msingi...
  12. raymond.biyengo

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mafoleeeeni. Ila afazali mlivyonibadilishia ATM kuwa master card sasa hivi natoa pesa benki yeyote. Na nikitaka kuweka natumia tigo pesa tu vinginevyo ningeshaifunga na account yenyewe
  13. raymond.biyengo

    Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

    Kwa uzoefu wangu kila mwaka kuanzia Mwezi 8, 9, 10 ndio kipindi kunakuwaga na mgao kwa nchi nzima. Ila kwa ajili ya uchaguzi kamwe hawawezi kusema MAJI yamepungua na nchi IPO gizani
Back
Top Bottom