Kondoo na radi

Kondoo na radi

Nimekusoma lakini ulimwengu wa giza ni dhana moja pana sana kwahiyo kuna wakati pia kuna upotoshaji mkubwa tu lakini pia kuna ukweli na uhalisia wenye hoja jadidi
Khaa!! ninaanza kukuelewa kidogo kidogo profesa..
2Q==
 
Katika Ulimwengu wa giza radi ni Vita ya kuzimu, katika Bible walitumia mwana kondoo wa Mungu
Shetani naye hupita humohumo kwakuwa shetani ni mlaaniwa wa Mungu kwa Kumtumia mnyama yuleyule mwenye utii amekitumia Kichwa chake kama alama yake muhimu
Kondoo anayetajwa kwenye Bible hana mapembe huyu ni mtii, kondoo atumiwaye na shetani ana mapembe


Kaka mshana jr naomba nikurekebisha, Devil worshiper wanatumia goat sign na sio lamb sign.
 
Last edited by a moderator:
Kaka mshana jr naomba nikurekebisha, Devil worshiper wanatumia goat sign na sio lamb sign.

Ni sahihi kabisa lakini pia katika baadhi ya matambiko na ibada za kuzimu hutumia Kichwa cha kondoo dume angalia hii picha 1444736965607.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ni sahihi kabisa lakini pia katika baadhi ya matambiko na ibada za kuzimu hutumia Kichwa cha kondoo dume angalia hii picha View attachment 298371
Bwana mshana jr , kondoo amekuwa akitumika tangu kale katika ibada za matambiko ya kiafrika (ancestors worship), na ibada hizi hazina uhusiano na devil worship.

Kondoo ( mwana kondoo) amekuwa akitukika kama alama kwa waumini wa dini ya kikristo tangu kale.
kondoo 2.jpg kondoo 3.jpg kondoo.jpg kondoo.png
 
Last edited by a moderator:
Bwana mshana jr , kondoo amekuwa akitumika tangu kale katika ibada za matambiko ya kiafrika (ancestors worship), na ibada hizi hazina uhusiano na devil worship.

Kondoo ( mwana kondoo) amekuwa akitukika kama alama kwa waumini wa dini ya kikristo tangu kale.
View attachment 298379 View attachment 298380 View attachment 298381 View attachment 298382

Bado nazidi kukubaliana nawe GIUSEPPE, huyo ni mwanakondoo alama muhimu ya utii, upole na uchaji mbele za Mungu
Kondoo wa kishetani ni dume Yule mwenye mapembe 1444739258722.jpg 1444739280087.jpg tabia za kondoo hawa unazifahamu vema wakorofi na wenye kiburi mno
 
Last edited by a moderator:
mkuu,juzi tu hapa ulitoa mada kuhusu kichwa cha ,mbuzi,ukakifananisha ya alama ya kishetani ukatia ufanano na mchoro wa uke,leo ni kondoo na siyo mbuzi tena

tehetehe nami nilikuwa nafuatilia nione kama ni mimi pekee ndio nimeliona hili.....ahsante....kula like :cheer2:1000
 
Khaa!! Acheni kudanganyana bana. Radi ni mlipuko unaotokea wakati chaji hasi na chanya zinavyokutana. Inaweza kuwa kati ya mawingu na ardhi au mawingu kwa mawingu. Sasa inapotokea kati ya mawingu na ardhi, vile vitu vilivyopo ardhini huanza kujenga chaji katika sehemu zao za juu zaidi kwa kondoo/binadamu/kuku lazima itakuwa ni kichwani. Sasa tumetofautiana kiwango cha utambuzi katika maumbile yetu namna ya kutambua kuwa chaji inajijenga katika miili yetu. Kondoo hutambua mapema (wastani sekunde 10 kutegemea na kasi ya chaji kujijenga) kabla ya binadamu hivyo hali hii humpa shida kichwani ndiyo huanza kurukaruka. Hali hii humtokea binadamu pia huhisi kama nywele zinasimama hivi, ukiona hivyo ujue umebaki na sekunde kama 4 hivi kupigwa na radi, Hivyo ondoka hapo haraka ujifiche ndani ya jengo. Ndege wao wanatambua mapema kuliko kondoo, Ukiwa chini ya mti wakati wa mvua ukaona ndege wanaruka kuukimbia mti basi na wewe fanya hivyo haraka. Hakuna cha Mzee Mangungu wala nani ni hesabu tu :glasses-nerdy:

Durufu : mshanajr
http://www.crh.noaa.gov/Image/gid/WCM/safety/lightning.pdf

haya ndo maelezo sahihi kabisa.....
 
Back
Top Bottom