Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,051
- 2,105
Mambo vipi wakuu?
Naomba tusaidiane format ya written interview utumishi, maswali ni ya mfumo gani, yani ni ya multiple choice au essays? Halafu pia ningependa kujua wanatoa paper generally au ni inayohusu proffessional ya mhusika?
Tusaidiane wakuu maana haya mambo leo kwangu kesho kwa mwingine hivyo thread hii itaweza kuwasaidia na wengine, me nafanya usaili wa planning officer Jumamosi asubuhi lakini sijajua maswali wayatoayo nimejikumbusha tu mambo ya darasani kidogo.