hebu andika vizuri mummy i know your tired unasinzia! edit kidogo!naomba maswali ya written zao..wameniambia jumanne saa 3 asubuhu watanirumia masqali kwa email.naomba anaejua aniasaidie wakuu.
Hao wako chini ya serikali ya marekani,kwa hapa afrika makao makuu yao yako nairobi.utalipwa vizuri ila kazi zao ni nyingi sana.pia utaenjoy kusafiri nchi mbalimbali.maswali yao ya interview ni ya kawaida kabisa.
wapuuzi sana.yani nimekaa nasubiri test mpaka saa 5 ikabidi niwatumie email ya kuwauliza kama wamehairisha.ndo wakanijibu kua nicheck kwenye spam au junkbox..kumbe walishatuma saa nyingi na muda wa kusubmitt ulishapita.nikahis hawa ni wahuni tu inawezekanaje link muhumu kama hiyo itumwe kwenye spam afu na wao wakae kimya tu bila hata kuwajulisha watu!watu wanaousika na wcs wanaoneka awajajipanga binafsi wali nitumia e mail kuhusu typing skill test leo saa 3 asubuhi hadi sasa hawajani inbox hita kuwa wasanii au maana siwasomi.
Wao hawatumi kwenye spam mkuu. Ni setup ya akaunti yako. Inawezekana filter software iliyo implemeted kwa email service provider wako. Filter ikitilia mashaka email inaitupa kwenye junk/spam for security reasons.wapuuzi sana.yani nimekaa nasubiri test mpaka saa 5 ikabidi niwatumie email ya kuwauliza kama wamehairisha.ndo wakanijibu kua nicheck kwenye spam au junkbox..kumbe walishatuma saa nyingi na muda wa kusubmitt ulishapita.nikahis hawa ni wahuni tu inawezekanaje link muhumu kama hiyo itumwe kwenye spam afu na wao wakae kimya tu bila hata kuwajulisha watu!