Kula koni hakuna madhara xn coz koni alwys hua ipo nje ina hangout na inapata maji , but balaa lipo kwa dada zetu yaan ni hatari zaidi ya danger, fikiria akeinda latrine bila maji kwa siku nzima then boy uwe unataka upige mzigo duhh..anatemaje yaan hio smell apo ni zaid ya dampo afu eti uzame...
Sisters wengi hua viburi kati ya age 18 to 25, wakisahau kua wao uzee huwafikia haraka klk Boys, na kujikuta wakichezewa sana pale wanapotafuta tulizo la amani na kutokulipata kwa wakati, wamesahau walichezea nafas hizo walipokua vigori, hakuna mw'ume asietaka mke mzur kitabia, Mw'ume atabaki...
Sisters wengi hua viburi kati ya age 18 to 25, wakisahau kua wao uzee huwafikia haraka klk guys, na kujikuta wakichezewa sana pale wanapotafuta tulizo la amani na kutokulipata kwa wakati, wamesahau walichezea nafas hizo walipokua vigori, hakuna mw'ume asietaka mke mzur kitabia, Mw'ume atabaki...
Hio mbn sanaa tuu, ki ukweli mm ni mmoja kat ya hao, nilichat xn na bint mmoja then tukawa wapenz na tukazama vilivyo bila kuonana, binti alinifata toka mkoa wa mbali sana tena kwa gharama zake na nilimpokea kwa viungo vyote vya mwili wangu, NAMSHKUR MUNGU alikua MREMBO SANA kuanzia sura body...
Huyo jamaa ni mfinyu na mvivu wa kifikra na ni adicted wa kauli za uchochoroni, km alidanganywa ajipange vizuri kuingia ktk changamoto za uraiani. Kila mtu anandoto binafsi za maisha yake bila shaka atakua ameshkishikiliwa akili, akili za watu + na yakwako = full kujiongeza, si lazma kuajiriwa...
Ckupewa maelezo yyte ya kujisajili, lkn nili ahirisha mwk kw kuandka barua na ikapitishwa na administrator(Recommended), nikarud mwk huu ili niendelee na chuo, administrator akadai reg no. Nikamtell sina akasema siez kukupokea, xo nikarud main cumpuss mbez, wakawasiliana na admnstr wa songea kwa...
i wrote a letter 4 postponment last year at st.joseph thy ddnt gv a reg no. instead wanadai niwapatie admmission no. ili waniregiste, hivi admmision no inatolewa na chuo au inapatkania wp? cz wamenambia niende net nika surch ndo nitaipata . naombeni msaada wenu cz muda nao ushaisha sn
Km ww ni rijali Kua na sifa ya kiume, na uwe mw'me halisi, mapenz c fedha wala kinga ya mepnz kwn hata asingekua mpz wako shida yake angempa nani, what if km akikosa na anaihitaj kw wakat husika it means mapenz ndo yakua mwisho kwa kua tu we ndo 7b ya yeye kufeli tatizo lake ! Usiwe mtumwa wa...
Wengi wetu tumekua wavivu wa kusoma na kuongeza ufanisi wa utambuz wa mambo ktk kuchanganua hoja na dialogue mbali mbali, hali inayopelekea wengi wetu kutotambua haki zao na ubadhilifu wa rasilimali za nchi yao jinsi zinavyo pigwa mateke na wachache wanaofaidi taifa hili tajiri na maskin kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.