mmbagastella34
New Member
- Oct 18, 2013
- 1
- 0
Mi niko Arusha,kama nataka kuanza hiyo biashara nitapataje mzigo
WanaJF jaribuni biashara ya sendos za kimasai za kike kutoka kenya mie imenisaidia sana sio sawa na kukaa bure.Ni biashara nzuri kwani wadada wengi wanazipenda hizi sendo kutokana na utofauti wake si kama zile za arusha na moshi.Kwa ushauri na maswali ni PM
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
Sent from lattest Soni Ericsson £5,000/= using jamii forum[/B]Sent from my BlackBerry Q10 mkuu hupitwi na toleo yaani the latest kabisa
laki moja na sitin mtaji wa sendoz toka kenya? utachukua ngapi zakukulipa pamoja na gharama za usafir mkuu?
Hahahahaaa!
Sent from my Nokia ya tochi using
JamiiForums
hahahahaha we jamaa unatafuta wateja hapa....mi nataka kwenda wote na wewe nairobi